Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ya rangi au ya maziwa?Chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya rangi au ya maziwa?Chai
Kusamehe kupo ila Kusahau Hakupo?Ila nimejifunza kuwa watu wanasahau kuwa Kuna kusamehe!
Wanasahau kuwa mtu anaweza fanya vitu vby na akabadirika kuwa mtu tofauti,na akajutia, ni vile tu hawezi tangaza!
Watu wanabaki na Yale ya zamani
Naupenda mno Mkoa wa Arusha kwa Vivutio vyake vingi.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Mie binafsi niliacha kuandika nyuzi humu. Ni ujinga kupoteza mda then mtu anafuta uziMaderator wameshanunuliwa saivi. Kuna nyuzi nyingi sana za maana wamezifanyia censorship na nyuzi za kijinga na kipuuzi ndo wanaziacha humu!
Kujifunza hakuna mwisho ukiwa hai. We endelea kujifunza tu.Ila nimejifunza kuwa watu wanasahau kuwa Kuna kusamehe!
Wanasahau kuwa mtu anaweza fanya vitu vby na akabadirika kuwa mtu tofauti,na akajutia, ni vile tu hawezi tangaza!
Watu wanabaki na Yale ya zamani
Siasa za kistaarabu na haki hazina uhatari wowote !Siasa ni career hatari kuliko zote, japo return yake kwenye uwekezaji wake ni kubwa.
Including this one ???! 🙄😅Naupenda mno Mkoa wa Arusha kwa Vivutio vyake vingi.
Ni kwasababu hilo litoto RC linafanya mambo gizani ya hovyo ..Hivi kwanini watanzania tumekuwa na roho za ajabu kiasi hiki ?
Habari za watu kuumizwa ndizo zinatupa faraja, na huwa tunazitoa kwa ushabiki sana. Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Katika boxing hii tuna ita uppercut, Umeua"Mtoto mpendwa"?
Nani anampenda huyo mtoto. Baadhi yenu watu wa JF huwa mnajisahaulisha sana. Lakini yote haya inajulikana sababu yake ni nini...; kujikomba; uchawa, n.k..
Baadhi ya watu humu hata wakiona nyoka wao watamwita ni mnyoo, ili mradi tu waonekane wanapigania chama cha mapinduzi
Huyo wewe unaye mpachika "utoto mpendwa", ni misingi ipi inayokufanya wewe uone ni "mtoto mpendwa"?
Mtu kutumiwa kama kikaratasi cha chooni, ndiko kupendwa huko?
Huyo hapendwi, ila inamlazimu mteuzi kumleta karibu kwake kwa sababu inalazimu afanye hivyo, siyo kwa sababu ya mapenzi yake.
Mara nyingi unafiki unaoonyeshwa katika maandishi humu ndani ya JF, kwa sababu tu za uchama zinawaondolea heshima wenye tabia hizo.
110%si ukute anatengeneza story tu hapo hajalishwa sumu wala nini. ameona hasikiki.
Yan Bashite ana drama kama za Bi.Mkubwa Kizimkazisi ukute anatengeneza story tu hapo hajalishwa sumu wala nini. ameona hasikiki.
Unafikiri "Bi mkubwa" ni "ET"?Bi mkubwa nawe watishika tena!?
Kwa nini hukusema mapema?Mimi niliota kama wiki mbili hivi kwamba kapewa chakula kilochotilowa kitu
Hakufa ila aliaumwa sana
Aaah, una uhakika? Fikiria Trump akisikia Biden kashikwa na busha la ghafla au tumbo la kuharisha damu, atamtumia kadi ya geti weli suni?Siyo vizur kufurahia magumu anayopitia mtu, kwa sasa tumuombee arudi salama.
Wote mnaopata nafasi ni vizuri kujifunza kuheshimu na kuthamini watu maana bila watu huwezi kuonesha ubora au udhaifu wako.