Mods hii thread haikubaliki ifutwe kutunza jina la Jf. Aipeleke kule udaku etc. Sumu huwa haikupi muda wa kupelekwa hadi SA. Ni sawa na kuumwa na cobra. Hizo za polepole clinical presentation yake huaga siyo hivyo eg polonium
Sumu ziko za aina nyingi kaka, some designed for instant impact, zingine ziko designed kuku chakaza taratibu , so ita depend
 
Sumu ziko za aina nyingi kaka, some designed for instant impact, zingine ziko designed kuku chakaza taratibu , so ita depend
hakuna sumu itamuua mtoto pendwa, wataingilia wapi, amekabidhi hatima yake yote kwa shetani ili apate vyeo na kutawala viongozi wakubwa, ni jitu kubwa san akwenye ulimwengu wa mashetani huko hata kama anajifanya kusali na kulialia. Mungu amrehemu na kumtoa huko gizani.
 
Hakuna codes hapa. Ni ujinga tu kama ujinga mwingine. Ukifinywa kidogo uthibitishe utaanza kulia lia tu
 
Huu uzi niliuona jana nikaupuuza. Mleta uzi britanicca juzi kati alileta tetesi ya kutumbuliwa kwa february na nape ikawa kwali. Sasa ukimya wa kondakta ukamfanya britanicca aibuke na tetesi.
Any way mimi naichukulia hii tetesi kama ile ya makamu wa rais Alizushiwa sana. Mpaka na mishumaa ikawashwa. Mwishowe dr akarudi akiwa ns afya tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…