Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Una ushahidi?Relax mweusi "humu tu", ngoja jitu life limeua sana wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi?Relax mweusi "humu tu", ngoja jitu life limeua sana wengine
Hasa Beirut imenishinda, msaada kwenye tuta tafadhali.Hii code ngumu Sana kufungua
Unataka nikupe wewe?Una ushahidi?
Sasa unataka umpe nan?Unataka nikupe wewe?
Mpokea pesa kwenye DaladalaNi nani huyo
🚮🚮Usivyo na akili unajichanganya mwenyewe hapa.
Unamtaja 'Nalvany' kujionyesha tu unajuwa mambo, kumbe hata huji kitu. Huko Urusi kulikuwepo na serikali aliyoiunga mkono na kumtumia huyo Nalvany kama ilivyo hapa?
Mmmmmmhsi ukute anatengeneza story tu hapo hajalishwa sumu wala nini. ameona hasikiki.
Hiki ni kitu gani fanya kunipa mwangaNimeipenda bure quul-juwaan.
Ni duwa ya kusomea watesi wako,ikiitika lazima israili ahusike.Hiki ni kitu gani fanya kunipa mwanga
Labda hiyo sumu iwe imesababisha multiple organ failure tofauti na hapo haiwezi kuwa lethal kihivyo atapona tu. Atahama Nchi huyo ndugu yenu.Mrisho Gambo siyo mtu mzuri sana,watu kutania tu kuwa anataka kugombea Arusha ameamua kuruka naye.
Baba wa Taifa alifia wapi?Wakiwa huku wanajifanya kusifia hospitali zetu hasa mloganzila ngoja waumwe sasa wanaenda kufia sauzi au india. Mungu anajua kutukomeshea hawa watu!