Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Mods hii thread haikubaliki ifutwe kutunza jina la Jf. Aipeleke kule udaku etc. Sumu huwa haikupi muda wa kupelekwa hadi SA. Ni sawa na kuumwa na cobra. Hizo za polepole clinical presentation yake huaga siyo hivyo eg polonium
Sumu ziko za aina nyingi kaka, some designed for instant impact, zingine ziko designed kuku chakaza taratibu , so ita depend
 
Sumu ziko za aina nyingi kaka, some designed for instant impact, zingine ziko designed kuku chakaza taratibu , so ita depend
hakuna sumu itamuua mtoto pendwa, wataingilia wapi, amekabidhi hatima yake yote kwa shetani ili apate vyeo na kutawala viongozi wakubwa, ni jitu kubwa san akwenye ulimwengu wa mashetani huko hata kama anajifanya kusali na kulialia. Mungu amrehemu na kumtoa huko gizani.
 
Bwana lema huyo mpinzani wako hapo kwenu viena amekosa njia nyingine ya kumkomesha mwenzie hapo kwenu zaidi ya kumuekea sumu kwenye chakula? Hauogopi Kwa mungu wake? Eti kisa dunia tu aisee this is too much sasa ataenda kujibu nini kwa mungu wake?

Najua utake usitake hapo kwenu viena mwaka huu hautoboi kabisa aisee maana msimu uliopita aliingia Kwa hisani ya bwana liquor 🥃 lakini kwa sasa hawezi kutoboa this time

Bwana msaidizi wa dereva na wewe acha ubabe aisee lakini karma is real kama ulivyowafanya wenzio na wewe umefanywa hivyo hivyo lakini tunaomba mungu akupe afya njema Ila pole bwana.

Get well soon nkoi gete gete
Hakuna codes hapa. Ni ujinga tu kama ujinga mwingine. Ukifinywa kidogo uthibitishe utaanza kulia lia tu
 
Hii taarifa inabamba Kule ''X''
Huko wameshaanza kunywa Konyagi
black-happy.gif
 
Huu uzi niliuona jana nikaupuuza. Mleta uzi britanicca juzi kati alileta tetesi ya kutumbuliwa kwa february na nape ikawa kwali. Sasa ukimya wa kondakta ukamfanya britanicca aibuke na tetesi.
Any way mimi naichukulia hii tetesi kama ile ya makamu wa rais Alizushiwa sana. Mpaka na mishumaa ikawashwa. Mwishowe dr akarudi akiwa ns afya tele.
 
Back
Top Bottom