CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mchana alipiga chafya moja halafu kuendelea kutulia vile vileMkuu nipe update kama unazo za ndaaaaaani, mwendo ameumaliza?
Siyo lazima aweke yeye,mipango tu.Slander-mongering..
Kwani Gambo ndo mpishi wa Bashite?
Makonda kawapatia hao, na ni mjanja huwa anawapa kile adui zake wanapendaKumtamkia au kutaka even Ur worst enemy Afe Ni Aina moja wapo ya uchwawi
Mtu wa kumstahi yuko wapi sasa?Hivi matusi yanawafaidisha nini? Si mjadiliane kwa staha?
Uonavyo wewe, basi unaona kijinga sanaMakonda ni kiongozi mzuri sana, ila shida inakuja maadui zake Huwa hawapendi Yeye kung'ara, na mara nyingi Huwa wanamsubiri akiwa mbele za watu, kuna namna wanafanya anaongea mambo yanayomshusha Yeye mwenyewe.
Sidhani kuna BAYA litampata.
Aongeze umakini tu.
Ila ni kiongozi mkubwa sana, sababu anawapenda watu wa ardhi anayoiongoza sio anapenda uongozi.
Ingekuwa anapenda uongozi tungeona vile anatoka Uenezi kwenda RC akififia.
Anapenda kutatua matatizo na ni nadra sana jamii kuwa na watu wa namna hii.
Alishughulikie Hilo kuthibiti kuchezewa kauli anapokuwa mbele za watu na kuongozwa akili nje ya mapenzi yake.
Jamii ilipaswa kumlinda Paul Makonda na si vinginevyo, hivyo ndivyo nionavyo Mimi.
Wewe nawe acha chuki zako unaona Makonda mbaya kwa kila kitu!Uonavyo wewe, basi unaona kijinga sana
"debe tupu..."Hapana.
Ikitokea kuwa hivyo, hutaniona tena nikiingia humu JF.
Hata taka kama wewe, "mlevi" wa kudumumaisha yote huhitahi 'debe' kabla ya kutupwa jalalani."debe tupu..."
Jamaa gani hao?Hawa jamaa Ina maana kutangaza kifo Cha mako mpaka wapewe posho.
Drama tu hizi, Bashite ukute kakimbia na zile Trilion 1.7 tunaambiwa kalishwa sumu ili apate muda wa kutosha kuzigawa kwa wahusika; kumbuka Bashite ndo msimamizi wa dili za Bi.Mkubwa Kizimkazi tangu enziSiyo lazima aweke yeye,mipango tu.
1. Makonda kaenda kufanya checkup South Africa.
2. Jana amepiga simu kuulizia watu wanasemaje, pia ameagiza mipango ianze kumtengenezea njia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana Mwanza.
Hizo ndizo ripoti, ila haumwi.Sizani kama ni South kweli?!
Duh1. Makonda kaenda kufanya checkup South Africa.
2. Jana amepiga simu kuulizia watu wanasemaje, pia ameagiza mipango ianze kumtengenezea njia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana Mwanza.
Lakini wewe hauna macho, tatizo linaanzia hapoUonavyo wewe, basi unaona kijinga sana
Wameua wenzao sasa wameanza kupasuana wao kwa wao dadekiHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Ni mzima hizo tetesi ni za uongoHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Dada Vicky pole pole sanaHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.