Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Makonda ni kiongozi mzuri sana, ila shida inakuja maadui zake Huwa hawapendi Yeye kung'ara, na mara nyingi Huwa wanamsubiri akiwa mbele za watu, kuna namna wanafanya anaongea mambo yanayomshusha Yeye mwenyewe.

Sidhani kuna BAYA litampata.

Aongeze umakini tu.

Ila ni kiongozi mkubwa sana, sababu anawapenda watu wa ardhi anayoiongoza sio anapenda uongozi.

Ingekuwa anapenda uongozi tungeona vile anatoka Uenezi kwenda RC akififia.

Anapenda kutatua matatizo na ni nadra sana jamii kuwa na watu wa namna hii.

Alishughulikie Hilo kuthibiti kuchezewa kauli anapokuwa mbele za watu na kuongozwa akili nje ya mapenzi yake.

Jamii ilipaswa kumlinda Paul Makonda na si vinginevyo, hivyo ndivyo nionavyo Mimi.
Uonavyo wewe, basi unaona kijinga sana
 
Uonavyo wewe, basi unaona kijinga sana
Wewe nawe acha chuki zako unaona Makonda mbaya kwa kila kitu!
Ila nikwambie tu Makonda is the best kwa viongoz tulio nao kwa sasa!
Kwa hiyo unataka kusema Makonda ni kiongozi mbaya
Sema wengi wenu mna chuki na hofu sana na jamaa!
Naomba awe mzima ili aendelee kuwahudumia Watnzania!
 
Back
Top Bottom