Acha kujifanya mjuaji. Kichwa maji wewe unaongea kama umevuta kaya. Wewe majukumu aliyopewa na huyo Kiongozi wa nchi unayajua?...
Kwamba majukumu ya RC nayo ni siri?

Kasome sheria inayohusina na Local Government (Authorities) Administration Act utaona majukumu yote ya RC na DC sasa cha ajabu kipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…