The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afe tu kwani yeye nani mbona aliua kina Ben saa 8, azroy na wengineo tena hawakuwa na hatia.He is still alive... soon atajitokeza... mtaona aibu.
Dawa gani sumu.Narudia tena SERIOUSLY kama ndugu zake, rafiki zake au jamaa zake wanaona comment hii WAJE KAKONKO NIWAPE DAWA
Ni uzushi tu wa kutafuta kikiNi kwasababu hilo litoto RC linafanya mambo gizani ya hovyo ..
Hasa awamu ya 5, alisimamia operation za kuumiza watu nyingi tuu ..
Najua utasema nitoe ushahidi ..lakini nakwambia DAB alihusika na operation nyingi za hovyo ..ndio maana unaona watu wanafurahi wakisikia na yeye kapatwa na jambo
Oa weweeehahahaha
R.I.PHe is still alive... soon atajitokeza... mtaona aibu.
Le Profiseri Mahamudu Hassan Janabi, CEO of JKCI
RAS nani alietoa hio taarifa? Tupe na Jina lake sio unaandika tu RAS alafu unaishia hapo au ni RAS Simba?RAS wa ARUSHA ametoa taarifa kuwa RC yuko likizo. Hii ni taarifa rasmi ya serikali haya mengine yapuuzwe kama Mh.Waziri Mkuu alivyowahi kusema siku za nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
za mwizi 40Yule kipara aliyeliwa kichwa na πΈ kiziwi anaweza kuwa kafanya yake yule dogo ni mhuni anaevaa suti kuzuga
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?Acha ujuaji huna unachofahamu.
Tumeandaa na nani?Unamuuliza nani? Mshaandaa risala au bado?
Fungua code hii!! Hata tuliosoma Cuba tumeshindwa
Wewe jamaa unatupangaga na kutuzuga humu eti unachoma mkaa minjingu. Wewe siyo mchoma mkaa wewe ni teeth tena wale teeth wazalendo.
Kila mtu ataubeba msalaba wake malipo ni hapa hapa DuniaMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Hahaha king himself. Vipi Jamaa yako hapo chini kwenye picha?Mkuu karibu MINJINGU tupambane ,hizo story nilizoweka nimezitoa humu humu ,nilichofanya ni ku-compile tu.