Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Ni kwasababu hilo litoto RC linafanya mambo gizani ya hovyo ..
Hasa awamu ya 5, alisimamia operation za kuumiza watu nyingi tuu ..
Najua utasema nitoe ushahidi ..lakini nakwambia DAB alihusika na operation nyingi za hovyo ..ndio maana unaona watu wanafurahi wakisikia na yeye kapatwa na jambo
Ni uzushi tu wa kutafuta kiki
 
RAS wa ARUSHA ametoa taarifa kuwa RC yuko likizo. Hii ni taarifa rasmi ya serikali haya mengine yapuuzwe kama Mh.Waziri Mkuu alivyowahi kusema siku za nyuma
 
Mzena noma wawili hawakurudi pale
Mwamba.

20240727_121344.jpg
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Kila mtu ataubeba msalaba wake malipo ni hapa hapa Dunia
 
Tetesi zimezagaa kuwa Makonda amewekewa sumu na amekimbizwa South Africa kwa matibabu.

Katibu tawala Mkoa wa Arusha amedai kuwa Paul yupo likizo.

Sasa watanzania tuamini lipi? Kwa nini taifa letu halipendi uwazi?
 
Back
Top Bottom