Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Makonda yupo mzima kabisaa...ccm bado ina muda mrefu sana madarakan...lazima kuwe na kamtu smart sna...ambaye anawachezesha mziki watanzania...ni aibu kwa kweli...
Nawaza tu! Makonda kalazwe kwa sumu kali hospital hizi za kibongo then anasafirishwe kwenda South Africa bila habari reliable yenye ushahidi hata wa picha?
Kwa maana Makonda sio Rais kwamba anaulizi unaowafanya watu wasichukue picha au kutoa taarifa sahihi juu yake!
Yeye kaenda kutulia kwanza baada ya hekaheka miezi mitatu ya mwanzo!
Mungu amlinde Mheshimiwa Makonda!
 
Katibu tawala keshasema DAB yupo likizo na yanayomtokea mtu akiwa likizo si jukumu lake kujua!
Hapo kuna codes Fulani hivi kapita nayo🤔🤔
Basi inawezekana hiyo likizo yake muda umepita ndo maana huyo katibu tawala kasema hajui yaliyomtokea huko likizoni.

Hata hivyo kama kweli kaenda kwenye matibabu, inawezekana alichukuwa ruhusa ya matibabu kama likizo.

Ila sijui taratibu za likizo kwa wakuu wa mikoa zikoje.
 
Hakuna kitu huyo CHAWA. Anaokota okota vitu mitandaoni anakuja na story zake .... Ni Chawa wa kujitotelea huyo. Wale Chawa wa Lumumba waliokuwa wamesajiliwa na Nape enzi za JK walishatelekezwa long time.
Hahaha. ..kumbe vyawa nao wana vyama vyao?
 
Kwamba majukumu ya RC nayo ni siri?

Kasome sheria inayohusina na Local Government (Authorities) Administration Act utaona majukumu yote ya RC na DC sasa cha ajabu kipi hapo?
Acha uongo.

Hakuna sheria inaitwa Local Government (Authorities) Administration yenye kueleza majukumu ya DC na RC.

The Rigional Administrative Act ndiyo sheria inayoelezea majukumu na wajibu wa Ma-RC na Ma-DC.
 
Back
Top Bottom