Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekumiss zaidi.....☺️Baby are you really serious. Baby I terribly miss you.
Nawaza tu! Makonda kalazwe kwa sumu kali hospital hizi za kibongo then anasafirishwe kwenda South Africa bila habari reliable yenye ushahidi hata wa picha?Makonda yupo mzima kabisaa...ccm bado ina muda mrefu sana madarakan...lazima kuwe na kamtu smart sna...ambaye anawachezesha mziki watanzania...ni aibu kwa kweli...
Oooh you make me blush and shy.🥰🥰🥰Nmekumiss zaidi.....☺️
Unaposema “soon atajitokeza”, Kwanini alijificha to begin with?He is still alive... soon atajitokeza... mtaona aibu.
Alimezwa akiwa hai?hapana. alimezwa.
R.I.P JPM.Oyaaa mkuu hiyo ngoma ni hatari hiyo sumu nilishawai kusoma kijitabu flan kuhusu io sumu haina antdot wala nini ni unaoza taratibu
R i p jiwe mwamba kabisaaR.I.P JPM.
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi,amhifadhi na amlinde na maadui wa ndani na nje ya nchi
Angalau umemjibupo, maana alikuwa anadandia kila ID ya kike na kuiita bebi anaishia kuambulia vikwenzi, vipepsi, vifuti na visigino😅Nmekumiss zaidi.....☺️
Basi inawezekana hiyo likizo yake muda umepita ndo maana huyo katibu tawala kasema hajui yaliyomtokea huko likizoni.Katibu tawala keshasema DAB yupo likizo na yanayomtokea mtu akiwa likizo si jukumu lake kujua!
Hapo kuna codes Fulani hivi kapita nayo🤔🤔
Jamaa yupo likizo ya siku mbili Nairobi ijumaa anarudi.
Hahaha. ..kumbe vyawa nao wana vyama vyao?Hakuna kitu huyo CHAWA. Anaokota okota vitu mitandaoni anakuja na story zake .... Ni Chawa wa kujitotelea huyo. Wale Chawa wa Lumumba waliokuwa wamesajiliwa na Nape enzi za JK walishatelekezwa long time.
Leo ni jumamosi, R.I.P ni ya Alhamisi ., bado wanapaka rangi au wanatengeneza barabara
Acha uongo.Kwamba majukumu ya RC nayo ni siri?
Kasome sheria inayohusina na Local Government (Authorities) Administration Act utaona majukumu yote ya RC na DC sasa cha ajabu kipi hapo?
Daudi Albert BashiteDAB maana yake nini na kwanini wanamuita hivyo ?!
Kabisa mkuuThey not like us
Acha uongo waziri mkuu hakuwepo bhnaLeo tulikuwa na Wazuri Mkuu pale AICC, DAB hakuwepo!