Amen mkuu namuombea apone kama anaumwa kweli
 
Hatimae sasa, dakika za jiooooooóoni.
Ubuntu wanasawazisha goli, tunaenda extra time ni cheche.

Hallelujah!!!
 
Wewe jamaa unatupangaga na kutuzuga humu eti unachoma mkaa minjingu. Wewe siyo mchoma mkaa wewe ni teeth tena wale teeth wazalendo.
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Hii umedanganya 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…