Ukisha ondoka duniani kila lililo la kwako linafungwa. Aliondoka magufuli na shughuli za serikali hazikusimama sembuse RC? Cha msingi kumwombea apone kama kweli anaumwa ila ukiondoka ndio umesahaulika.

Fikiria trump angekufa siku ile unadhani kuna ambalo lingebadilika pale marekani? Uchaguzi ungeitishwa baadae na kuendelea
 
Sio Watanzania !
Watanzania watakushangilia watakubeba watalala chini upite juu ya migongo yao nk nk nk.

Lakini likikutokea lolote baya la kukutokea wanakuacha peke yako !
Hautoamini macho yako wala masikio yako !!
Hao ndio wanaoitwa Wabongo !
Kwa maneno watakuwa na wewe lakini kwa vitendo utabaki pekee na familia yako 😅😅😂🤠
 
Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.

Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela
 
Wakati JPM anaumwa, mlisema hivi hivi lakini mwisho wa siku akafa kwa kuumwa kule kule mlikukokuwa mnasema ni umbea na kwamba anachapa kazi zake.

JPM hakuwa mkristo , hata Bashite kama ni mkristo kweli hawezi kufa kwa sumu

Marko 16

17 “Na hizi ndizo ishara zitakazoandamana na wale wata kaoamini: Kwa kutumia jina langu watafukuza pepo; watasema kwa lugha mpya;

18 wataweza hata kuwakamata nyoka na kunywa sumu lakini wasidhurike; watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona
 
Muuaji tu huyu ndiyo alama aliyoacha. Ila ikimpendeza Mungu amfuate Mzee w Chato waliyekuwa wanaua naye watu wasio na hatia na kuwadhulumu mali zao
 
Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.

Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela
Nimecheka sana mkuu
 
Watanzania gani unaowazungumzia??
Wale mliwaita wanyonge ili mzidi kuwa didimiza??
Kila mtu abebe msalaba wake, kama umetengeneza uadui na watu kila kona ya nchi kwa madaraka yako hakuna njia tunaweza kujiumiza ubongo kupaza mishipa ya shingo.
Kisasi ni haki, kila mtu acheze mechi zake.

Hallelujah!!!
 
Kwa alivyo yule mzee wa kutaka kusikika na alishasema watu wanamtafuta hatuamini mpaka tujioneee kwa macho na fahamu zetu. Mzee wa drama atusamehe sana kwa sisi akina tomaso maana hatuamini chochoke kile kisemwacho juu yake hadi tuthibitishe wenyewe.
 
dah kweli umechafukwa.
 
Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.

Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela
Tatizo walikuwa ni marafiki zake.Aliwaamini ndo akaenda kuonana nao.Imagine rafiki yako ndo anakuwa chanzo cha wewe kwenda kaburini.
 
Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.

Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela
Hatari sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…