Shule ulienda kusomea nini vile🤔Ndiyo hujuwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule ulienda kusomea nini vile🤔Ndiyo hujuwi.
Duh 🙄 !Unamwandika walaka mtu kashaaga Dunia, Kwa Nini unajitoa ubongo kiasi hicho.
Ukisha ondoka duniani kila lililo la kwako linafungwa. Aliondoka magufuli na shughuli za serikali hazikusimama sembuse RC? Cha msingi kumwombea apone kama kweli anaumwa ila ukiondoka ndio umesahaulika.Hapo umezungumza kama RC inaweza kuwa kweli ni mdogo....kiasi kwamba dola haiwez fanya makeke...kumbuka Tz RC sio yeye tu...wapo wengi? Y yeye?...labda nikupe taarifa ndogo tuu...Tuombee Mungu awe salama...vinginevyo cjui...huku kwenye mitandao ni tofauti sana na nje ya mitandao...Mh Rc nje ya mitandao ana attension kubwa sana ya wananchi....yaan pale kwenye uenezi alimaliza kila kitu...na ndio usalama wake ulipo...kiasi kwamba likitokea lolote baya juu yake....kuna mistari itachorwa kwa wananchi...isifike mahali wananchi waka draw lines ya introduction na conclution kuwa sehemu moja huku refference wakichukua miaka 3 iliyopita...🇹🇿🙏🏾
Duh 🙄 !Masikini weeee kaenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe kisha zikarutubishwe kwenye maabara. Ndiyo maana yule Keagan ana vimelea vya kifilipino
Hskuns dhulr inayoweza kushindana na madrassa kwa Kiswahili. Nimeanza kukiandika Kiswahili kwa herufi zake za asili, Kiarabu.Shule ulienda kusomea nini vile🤔
Sio Watanzania !Hapo umezungumza kama RC inaweza kuwa kweli ni mdogo....kiasi kwamba dola haiwez fanya makeke...kumbuka Tz RC sio yeye tu...wapo wengi? Y yeye?...labda nikupe taarifa ndogo tuu...Tuombee Mungu awe salama...vinginevyo cjui...huku kwenye mitandao ni tofauti sana na nje ya mitandao...Mh Rc nje ya mitandao ana attension kubwa sana ya wananchi....yaan pale kwenye uenezi alimaliza kila kitu...na ndio usalama wake ulipo...kiasi kwamba likitokea lolote baya juu yake....kuna mistari itachorwa kwa wananchi...isifike mahali wananchi waka draw lines ya introduction na conclution kuwa sehemu moja huku refference wakichukua miaka 3 iliyopita...🇹🇿🙏🏾
Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.Walipokwenda dinner hapo hapo mtu akalishwa sumu.Imenikumbusha yule mrusi Alexander Litvinenko .Watu waliompa sumu ni marafiki zake kabisa aliofanya nao KGB kabla hajakimbilia London.Wakampigia simu waonane waongee kumbe wanakwenda kumpa sumu. Alikula hiyo sumu tarehe 1 Novembre. Tarehe 26 Novembre akafa. Ilikuwa 2006.
Kumbe Ujinga umesomea kabisa🤔Hskuns dhulr inayoweza kushindana na madrassa kwa Kiswahili. Nimeanza kukiandika Kiswahili kwa herufi zake za asili, Kiarabu.
Wakati JPM anaumwa, mlisema hivi hivi lakini mwisho wa siku akafa kwa kuumwa kule kule mlikukokuwa mnasema ni umbea na kwamba anachapa kazi zake.
Muuaji tu huyu ndiyo alama aliyoacha. Ila ikimpendeza Mungu amfuate Mzee w Chato waliyekuwa wanaua naye watu wasio na hatia na kuwadhulumu mali zaoCOMRADE MAKONDA , TUNAJUA UKO MZIMA NA SALAMA KABISA, UNAPITIA UZI HUU HUKU UKITABASAMU, TANZANIA IKO SHWARI NA TAMBUA KUWA UNA NGUVU KUBWA SANA NDANI YA JAMII, COMRADE , WENGI WANAKUOMBEA MABAYA SANA NA NAJUA KUWA WEWE UKO MBELE YA MUDA WAO, UNAONA MBELE ZAIDI YAO, WEWE NI KADA ULIYEPIKWA NA UKAPIKIKA, HAKIKA WENGI ZAIDI WANAKUPENDA NA KUKUOMBEA MEMA MENGI , UMETOA SOMO KUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU . UMEACHA ALAMA KAMA YA KIJANA MWENYE UVUMILIVU NA UTHUBUTU . WENGI WANATAMANI WAPATE NAFASI TU ULIYO NAYO AU WAPATE KUONGELEWA KAMA WEWE. MAKONDA PIGA KAZI BABA. ENDELEA KUTUVUSHA. WEWE NI MFANO WA KIONGOZI . MABAYA YAZIKWE . MEMA DAIMA .
iamwangdamin
Ccm oyeeeee. Ccm mbele kwa mbele.
Israili naye siku hizi amekuwa mlegevu sana kumbe amesharahisishiwa kazi anashindwa nini kufanya finishing?Kwa muda wote huo angekua salama angeshajitokeza kukanusha hizi habari... Wajanja wamemgonga sumu yule msenge.
Nimecheka sana mkuuNami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.
Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela
Kwa kalio hili nguvu ya kupump aitoe wapiMasikini weeee kaenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe kisha zikarutubishwe kwenye maabara. Ndiyo maana yule Keagan ana vimelea vya kifilipino
Watanzania gani unaowazungumzia??Hapo umezungumza kama RC inaweza kuwa kweli ni mdogo....kiasi kwamba dola haiwez fanya makeke...kumbuka Tz RC sio yeye tu...wapo wengi? Y yeye?...labda nikupe taarifa ndogo tuu...Tuombee Mungu awe salama...vinginevyo cjui...huku kwenye mitandao ni tofauti sana na nje ya mitandao...Mh Rc nje ya mitandao ana attension kubwa sana ya wananchi....yaan pale kwenye uenezi alimaliza kila kitu...na ndio usalama wake ulipo...kiasi kwamba likitokea lolote baya juu yake....kuna mistari itachorwa kwa wananchi...isifike mahali wananchi waka draw lines ya introduction na conclution kuwa sehemu moja huku refference wakichukua miaka 3 iliyopita...🇹🇿🙏🏾
dah kweli umechafukwa.Watanzania gani unaowazungumzia??
Wale mliwaita wanyonge ili mzidi kuwa didimiza??
Kila mtu abebe msalaba wake, kama umetengeneza uadui na watu kila kona ya nchi kwa madaraka yako hakuna njia tunaweza kujiumiza ubongo kupaza mishipa ya shingo.
Kisasi ni haki, kila mtu acheze mechi zake.
Hallelujah!!!
Hatimaye habari ya Bashite imekurejesha dada mama D .
Nimefurahi kujua u salama.
Tatizo walikuwa ni marafiki zake.Aliwaamini ndo akaenda kuonana nao.Imagine rafiki yako ndo anakuwa chanzo cha wewe kwenda kaburini.Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.
Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela
Hatari sana !Nami namkumbuka huyu. Alexander Ltvinenko alipewa polonium dose ya watu 20 kwenye kinywaji.
Waliweka dozi kubwa wakijuwa kuwa Mifumo ya Afya ya Uingereza inaweza kumuokoa kama wataweka dozi ya kawaida. Hivyo wakmpa kitu kinaitwa ubaya ubwela