Haya wafuasi wa Makonda hapa ni wapi na Makonda alikua anafanya Nini hapa?
Kumsifia tu Makonda, kusema kwamba hapa ni wapi aaah!
 
Siku zote watesi sio watu wazuri😳😳😳😳
Hii tabia ya kutekana tekana !
Tabia ya kutengenezeana kashfa !
Tabia ya kuwekeana Sumu na mengineyo mabaya kama hayo ni akina nani hasa ndio waasisi wa hiyo Kazi ?? !!! 😳😳😳

Mimi nipo Tanganyika tangu kabla ya Uhuru mpaka Ukaja Muungano sikuwahi kusikiaga hivyo vitu Enzi zile !😳😳

Je ni akina nani hao waliolianzisha hilo balaa Nchini na ni kwa nini hasa walilianzisha hilo balaa ! πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ

Kama wamo humu baadhi yao tunawaambia huo ulikuwa ni ujinga kweli kweli !!

Inabidi wajute sana sana na waache kabisa huo Uzwazwa !
Hii Nchi kila Mwananchi ana haki ya kuishi kwa Amani na kufanya Siasa au kazi nyingine yeyote ya halali !
Acheni Ujinga ! 😳😳😳
 
Tatizo ni tamaa na ubinafsi unazidi kukua siku hadi siku.
 
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Haya yanayojiri kwa sasa yapo tokea enzi hizo , isipokuwa kinachofanya kwasasa yaonekane ni urahisi wa habari kutokana na ukuaji wa teknolojia.
 
Haya yanayojiri kwa sasa yapo tokea enzi hizo , isipokuwa kinachofanya kwasasa yaonekane ni urahisi wa habari kutokana na ukuaji wa teknolojia.
Waanzilishi wanajijua wenyewe !
Ila wajue ukimtendea mwenzio na wewe umefungulia njia ya kutendewa pia !

What goes around comes around !
Law of the Universe inasema hivyo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…