Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatoboiKwa hyo na huyo unayesikia kamezeshwa sumu naye unazan atakuwa km mwakiembee au umesikia nn zaidi afsaaa...
Hapa ndiyo sikualikuwa anaondoka kwenda kwenye matibabu? Amechoka sana
Hatari mkuuone gram of polonium-210 is enough to kill 50 million people and sicken another 50 million
Siku zote watesi sio watu wazuri😳😳😳😳Kwenye vijiwe vingi watesi wanasema Hachomoki.
KAZI ni kipimo cha UTU
York haiwezekani ana burnKuna uwezekano jamaa amechagua marafiki zake vizuri... maana hadi sasa hakuna mwenye taarifa sahihi. Labda yuko New York mapumzikoni.
Haya wafuasi wa Makonda hapa ni wapi na Makonda alikua anafanya Nini hapa?Hata kama hajasepa bado ila hatokuwa yule na makidai yake. Lazima viungo vitakuwa vimetafunwa sana ndani kwa ndani.
Muache alipe dhambi zake za watu aliowaua, kuwateka, kuwanyang'anya mali kati ya mwaka 2014- 20.
Kumbukeni alianza kumpiga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza November 2014
View attachment 3058547
Msechu ana zari, atamalizia ujenzi nyumba yake ya pili, IPO kwenye renta....Nimemuona Peter msechu hapa studio
MakondaHii code ngumu Sana kufungua
Anaendeleaje na likizo?Makonda
Hii tabia ya kutekana tekana !Siku zote watesi sio watu wazuri😳😳😳😳
Tatizo ni tamaa na ubinafsi unazidi kukua siku hadi siku.Hii tabia ya kutekana tekana !
Tabia ya kutengenezeana kashfa !
Tabia ya kuwekeana Sumu na mengineyo mabaya kama hayo ni akina nani hasa ndio waasisi wa hiyo Kazi ?? !!! 😳😳😳
Mimi nipo Tanganyika tangu kabla ya Uhuru mpaka Ukaja Muungano sikuwahi kusikiaga hivyo vitu Enzi zile !😳😳
Je ni akina nani hao waliolianzisha hilo balaa Nchini na ni kwa nini hasa walilianzisha hilo balaa ! 😳😳😳🤦🏽♂️
Kama wamo humu baadhi yao tunawaambia huo ulikuwa ni ujinga kweli kweli !!
Inabidi wajute sana sana na waache kabisa huo Uzwazwa !
Hii Nchi kila Mwananchi ana haki ya kuishi kwa Amani na kufanya Siasa au kazi nyingine yeyote ya halali !
Acheni Ujinga ! 😳😳😳
Tatizo ni tamaa na ubinafsi unazidi kukua siku hadi siku.
Utakuwa utajiri wa punje za mahindi?Bashite's soon replaced
Meat and sugar more than all
He ate in a such narrow life
Were lavished in his funeral
Bashite gone too glory
Bashite yo.
Malipo ni hapa hapa dunianiHata kama hajasepa bado ila hatokuwa yule na makidai yake. Lazima viungo vitakuwa vimetafunwa sana ndani kwa ndani.
Muache alipe dhambi zake za watu aliowaua, kuwateka, kuwanyang'anya mali kati ya mwaka 2014- 20.
Kumbukeni alianza kumpiga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza November 2014
View attachment 3058547
Ni kweli kabisa ukitenda mema utalipwa hapa hapa Duniani na ukitenda mabaya pia malipo ni hapa hapa Duniani !Malipo ni hapa hapa duniani
Haya yanayojiri kwa sasa yapo tokea enzi hizo , isipokuwa kinachofanya kwasasa yaonekane ni urahisi wa habari kutokana na ukuaji wa teknolojia.Hii tabia ya kutekana tekana !
Tabia ya kutengenezeana kashfa !
Tabia ya kuwekeana Sumu na mengineyo mabaya kama hayo ni akina nani hasa ndio waasisi wa hiyo Kazi ?? !!! 😳😳😳
Mimi nipo Tanganyika tangu kabla ya Uhuru mpaka Ukaja Muungano sikuwahi kusikiaga hivyo vitu Enzi zile !😳😳
Je ni akina nani hao waliolianzisha hilo balaa Nchini na ni kwa nini hasa walilianzisha hilo balaa ! 😳😳😳🤦🏽♂️
Kama wamo humu baadhi yao tunawaambia huo ulikuwa ni ujinga kweli kweli !!
Inabidi wajute sana sana na waache kabisa huo Uzwazwa !
Hii Nchi kila Mwananchi ana haki ya kuishi kwa Amani na kufanya Siasa au kazi nyingine yeyote ya halali !
Acheni Ujinga ! 😳😳😳
Waanzilishi wanajijua wenyewe !Haya yanayojiri kwa sasa yapo tokea enzi hizo , isipokuwa kinachofanya kwasasa yaonekane ni urahisi wa habari kutokana na ukuaji wa teknolojia.
Daah kumbe nae anakosea aisee..Hata wewe anandika kizaramo. Kiswahili hujui.