Ni yule mkimbizi?Mpe Pole sana ,ndiyo maana simsikii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yule mkimbizi?Mpe Pole sana ,ndiyo maana simsikii.
Yule binti kwao wanajiweza..baba doctor mama mwalimu na anamiliki shule...hawajawahi ishi kwenye nyumba ya udongo. Labda huko kwa bibi lkn sio ArushaNdio, ile njia kama unaenda kwemye kivuko cha kuvuka kwa kamba, Daudi wakati anadhulumu fedha za watu akiwa RC, alimjengea nyumba nzuri akamtoa kwenye nyumba ya tope,
Wanajiitaga wahangaza, ila ni mnyarwanda
Watu wenye hela baada ya kutimiza ndoto zao hutaka kutimiza fantasies zao. Utakuta Sitta alishafanya ushenzi wote kwa wanawake akaona ajaribu upande wa pili ndo matokeo yake labda Bashite akawa mhanga. Tajiri kukwepa kufanya dhambi ni ngumu mno.Bazazi six, nchi hii tumekuwa na viongozi wa hovyo sana,
Ongeza mkuu wao: 'Tlaatlaah', anayejigamba yeye ndiye mkuu wa 'Chawa' wote!Kwa nini asitibiwe hapa nchini wakati huwa anasema mama ameboresha kila kitu??
Lucas Mwashambwa ChoiceVariable FaizaFoxy
Nani anahusika?Mh Gambo hahusiki bwana aisee maisingizie watu aisee
Umegonga penyewe hasa.Sio drama tuu hiyo? Maana DAB anaweza hata ku act amekufa ili mradi apate milage katika media.
Lakini pia kwa tabia zake hayuko salama sana ndio maana kila siku drama za manabii na mashekhe haziishi