Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Umenikimbusha Kuna mama mmoja mkuu wa mkoa kwa sasa yupo huko kusini yule mama kwenye ziara zake kama mkuu wa mkoa ilikua akifika sehemu ya msosi hashuki hata kwenye gari anakula zake biscuit tu , nikamuuliza jamaa mmoja vipi mbona huyu maza huwa hali akasema anaogopa kuwekewa sumu😄
 
Mtume wa mataifa Paul Yupo Benchi anaangaliwa kwanza kwa mambo yafuatayo.

1.Tuhumabya kuvurugwa utawala bora.Kesi mbalimbali zilizoko mahakamani za migogoro, alikuwa anaamuru watu wawekwe ndani.

2.Matumizi ya magari binafsi ya watu, magari bya utalii kwenye misafara yake,study case ni alivyopokelewa Arusha, na baadhi ya misafara yake baada ya kuingia Arusha rasmi.

NB: hataki kuhamiannyumba ya mkuu wa mkoa, anakaa hotelini btoka alibyoripoti, hoteli anayokaa ni Million Moja kwa siku.

Mkoa wa Arusha kwa sasa unakaimiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Kwa sasa Leo ni siku ya saba Mtume Paul Mtume wa Mataifa hatakiwi kutia PUA ofisini, hatakiwi kutumia gari la Serikali mpaka uchunguzi uishe na maamuzi ya Mamlaka iliyomteua itakapooona vinginevyo.

La kwamba Yuko Bondeni anaumwa inawezekana ,Labda kapata Shell au Oilcom.

Tumuombe ana maadui wengi sana, wakiwemo aliowasagia KUNGUNI MBELE YA MAMA ARUSHA.
 
Back
Top Bottom