Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mtoto pendwa ni yule kijana kiburi aliyetikisa sana kwenye awamu ya 5 wakati akiwa mkuu wa Mkoa, akafika hatua akamfokea hadi waziri wa mawaziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka yake shetaniKuna majitu yako kama mashetani so sad ila mungu n mwema atapona
huyu dogo kwa lugha nyingine huwa namwita ni chukizo la uharibifu, ni mtu mchafu sana kwa wanadamu wa nchi hii.
Unatuchanganya bro!Mh Gambo hahusiki bwana aisee maisingizie watu aisee
Hilo neno "sana", linaharibu mantiki lingetoka.Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Unadhani angekuwa na historia nzuri watu wangekuwa wanashadadia hivi.Hivi kwanini watanzania tumekuwa na roho za ajabu kiasi hiki ?
Habari za watu kuumizwa ndizo zinatupa faraja, na huwa tunazitoa kwa ushabiki sana. Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Kwa sababu Mkuu wa Wilaya hawezi kukaimu Mkuu wa Mkoa bali Mkia wa Mkoa ndiye sahihi kufanya hivyo.Kwa nini mkuu wa mkoa mwingine ndiye anakaimu badala Katibu tawala au mmojawapo wa wakuu wa wilaya za Arusha??
Yesu Anakuja.huyu dogo kwa lugha nyingine huwa namwita ni chukizo la uharibifu, ni mtu mchafu sana kwa wanadamu wa nchi hii.
Kwa nini mkuu wa wilaya hawezi kukaimu ukuu wa mkoa?Kwa sababu Mkuu wa Wilaya hawezi kukaimu Mkuu wa Mkoa bali Mkia wa Mkoa ndiye sahihi kufanya hivyo.
Anakaimu vizuri tuu mi nimeshuhudia mara kadhaaKwa nini mkuu wa wilaya hawezi kukaimu ukuu wa mkoa?
Naibu waziri anaweza kukaimu uwaziri endapo waziri husika hawezi kutekeleza majukumu yake??
Ndiyo nishaandika hivyo.Hilo neno "sana", linaharibu mantiki lingetoka.
Naam za Moto MotoWewe umefunua kila kitu.
Hivi kwanini watanzania tumekuwa na roho za ajabu kiasi hiki ?
Habari za watu kuumizwa ndizo zinatupa faraja, na huwa tunazitoa kwa ushabiki sana. Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Bashite????Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Swali la msingi sana.Kwa nini asitibiwe hapa nchini wakati huwa anasema mama ameboresha kila kitu??
Lucas Mwashambwa ChoiceVariable FaizaFoxy
UONGOKwa sababu Mkuu wa Wilaya hawezi kukaimu Mkuu wa Mkoa bali Mkia wa Mkoa ndiye sahihi kufanya hivyo.