Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Muongo huyoKwa nini mkuu wa wilaya hawezi kukaimu ukuu wa mkoa?
Naibu waziri anaweza kukaimu uwaziri endapo waziri husika hawezi kutekeleza majukumu yake??
Anakaimu vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo huyoKwa nini mkuu wa wilaya hawezi kukaimu ukuu wa mkoa?
Naibu waziri anaweza kukaimu uwaziri endapo waziri husika hawezi kutekeleza majukumu yake??
Unadhani angekuwa na historia nzuri watu wangekuwa wanashadadia hivi.
Wewe unapenda ipi!?Inasemekana au imethibishwa!?
Acha bwana!Kuna mtu atakufa...
Pole sana.Inaonekana sumu kapewa siku nyingi ndo maana mpaka mwenge ulipokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa!
Ila kama walimlenga kwa hilo watakuwa wameshindwa!
Siku zimeenda sana kama ni issue ya sumu atakuwa kachomoa!
vipi na wewe je unakufa lini?Makonda hajujifunza kwa magu,hata akipona asipoacha sifa miaka 50 Hatoboi
Apia?!😂R.i.p
Mbona anacheza halafu hageuki?
Mkuu kwani ikiwa kweli huoni kama nchi itafarijika sana?Hivi kwanini watanzania tumekuwa na roho za ajabu kiasi hiki ?
Habari za watu kuumizwa ndizo zinatupa faraja, na huwa tunazitoa kwa ushabiki sana. Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Itakuwa hukuhitimuFungua code hii!! Hata tuliosoma Cuba tumeshindwa
"Mtoto mpendwa"?Mtoto pendwa
Acha roho mbaya. Binadamu hatupo hivyo.Unauliza ndevu kwa Osama? Mtoto pendwa alimtupa kwenye bwawa la mamba.
Ni habari njema sana kama anaumwa. Akifa nitafanya sherehe kubwa, kama niliyoifanya alipokufa jini mkuu.
Ameona akina nape wanatrend kumzidiSio drama tuu hiyo? Maana DAB anaweza hata ku act amekufa ili mradi apate milage katika media.
Lakini pia kwa tabia zake hayuko salama sana ndio maana kila siku drama za manabii na mashekhe haziishi
Unamkumbuka Ben Saanane.....never mind umbwa hawakumbukiKuna majitu yako kama mashetani so sad ila mungu n mwema atapona
Si alisema hawezekani kwa chochote vipii tena au mnamsingiziaMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.