Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Inaonekana sumu kapewa siku nyingi ndo maana mpaka mwenge ulipokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa!
Ila kama walimlenga kwa hilo watakuwa wameshindwa!
Siku zimeenda sana kama ni issue ya sumu atakuwa kachomoa!
Pole sana.
 
Mtoto pendwa
"Mtoto mpendwa"?

Nani anampenda huyo mtoto. Baadhi yenu watu wa JF huwa mnajisahaulisha sana. Lakini yote haya inajulikana sababu yake ni nini...; kujikomba; uchawa, n.k..
Baadhi ya watu humu hata wakiona nyoka wao watamwita ni mnyoo, ili mradi tu waonekane wanapigania chama cha mapinduzi
Huyo wewe unaye mpachika "utoto mpendwa", ni misingi ipi inayokufanya wewe uone ni "mtoto mpendwa"?

Mtu kutumiwa kama kikaratasi cha chooni, ndiko kupendwa huko?
Huyo hapendwi, ila inamlazimu mteuzi kumleta karibu kwake kwa sababu inalazimu afanye hivyo, siyo kwa sababu ya mapenzi yake.

Mara nyingi unafiki unaoonyeshwa katika maandishi humu ndani ya JF, kwa sababu tu za uchama zinawaondolea heshima wenye tabia hizo.
 
Sio drama tuu hiyo? Maana DAB anaweza hata ku act amekufa ili mradi apate milage katika media.
Lakini pia kwa tabia zake hayuko salama sana ndio maana kila siku drama za manabii na mashekhe haziishi
Ameona akina nape wanatrend kumzidi
 
Back
Top Bottom