Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Kuna kesi moja Mbunge alipakia nyara za Serikali kwenye gari yake. (Meno)
Kwenye gari alikuwa yeye (mbunge)
Dereva wake na aliyemwuzia meno ambaye anaenda naye mjini kumlipa pesa yake.
Mwendesha mashtaka aliulizwa na wakili.

Hivi wewe ukiwa kama dereva wa Bosi wako.
Unaweza kumkatalia kupakia mizigo yake kwenye gari yake ?

Mwendesha mashtaka akaulizwa tena.
Hivi ukiomba lifti kwenye gari ya mbunge wako.
Akikukubalia utaanza kukagua alichokipakia ?
Dereva na muuza (meno) wakawa hawana hatia na kuachiwa huru.

Mbunge Akala miaka Saba gerezani akakata rufaa Akala miaka 12. Katoka kakuta mkewe keshaolewa na mtu mwingine.

Je wewe unaweza kumkatalia Bosi wako anapo kutuma?
Namaanisha Mkuu wa nchi.
Maswali wana ulizwa mashahidi mahakamani amna ngojera kama ulizo andika apa .
wakili amuulize mwendesha mashtaka kama nani ..
 
Back
Top Bottom