Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Tayari imeanza kufanya kazi.. Kurujuani
Aliyepanga....
Aliyetekeleza....
Aliyeshiriki......

Wootee..."sisi wazanaki tunaitaa...."
 
Tujifunze kuishi maisha ya kibinadamu zaidi na yenye kumpendeza Mungu aliyetuumba.
Madara,pesa na nafasi zingine tusizitumie vibaya kuumiza na kutesa watu wengine.

Mtu bora ni yule ambaye watu wamesalimika kutokana na mikono(matendo) yake na mdomo(kauli).

Tujichunge zaidi na nafasi tunazopata hapa duniani iwe uongozi,mali na mazaga mingine, tusiumize watu wengine ili tuonekane bora kwa waliotutuma.

Malipo ya mabaya yako, na mazuri yako ni hapahapa duniani.

Hallelujah!!!
 
Nakuambiaje akifa nitakutumia Rambi Rambi mimi ninywe bia.Alishatangaza hakuna mtu duniani anakula raha akama yeye. Kama kamaliza starehe zote si vibaya Mungu akamchukua 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Mungu wa Israeli afanye yake kwa kweli.
Usimtaje Mungu kwenye uovu wako.mtu wa Mungu hawezi kumuombe kifo mtu mwingine hata kama ni adui.
 
Hata Yako pia. Tusipangiane maisha maana ccm huwa mnaona Dunia ni ya kwenu peke yenu... Makkkonda acha afe.
Mimi sio CCM ila sipendi tabia ya kuombeana kifo.kwa sababu hakuna aliyemsafi kwa hiyo tukiombea kufa kwa sababu ya maovu hakuna atakayebaki.Alafu ukiona kwenye nchi watu wanaombea kifo hiyo nchi ni mfu.
 
Back
Top Bottom