Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.Halikushangaza kutokea kwako litashangaza kutokea kwangu?
Mungu AMchUKuEMungu amponye
Waandishi habari wa kibongo wanapata habari zao toka page za udaku.Waandishi wa HABARI sio ndio kazi zao hizi, wakamtafute ofisini au nyumba I kujua taarifa sahihi. Au nao wamekuwa teak udaku mitandaoni.
Aisee watu wabadHuu uvumi haumtendei haki Peter Msechu, maana anaandika mistari halafu anafuta.
Watoe official statement Msechu ajue moja.
1. Makonda kaenda kufanya checkup South Africa.Huu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Daraja la Busisi linafunguliwa December 2024. UnakaribishwaMakonda mbona ni mgonjwa muda mrefu tu! Ndiyo maana analia hovyo makanisani na misikitini. Na hata kutupia mbegu hawezi, ni mpk kwa msaada wa test tube.
Kama hii Dp ni yako ama una fanana na wewe basi naona kama wanangu wanacheza tumboni mwakoHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
"...logical fallacy"?This logical fallacy is called argument from tradition.
Duh!K
Kama hii Dp ni yako ama una fanana na wewe basi naona kama wanangu wanacheza tumboni mwako
'Official statement' hiyo hapo #66Huu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Au unataka zaidi ya hiyo?1. Makonda kaenda kufanya checkup South Africa.
2. Jana amepiga simu kuulizia watu wanasemaje, pia ameagiza mipango ianze kumtengenezea njia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana Mwanza.