Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Makonda ni kiongozi mzuri sana, ila shida inakuja maadui zake Huwa hawapendi Yeye kung'ara, na mara nyingi Huwa wanamsubiri akiwa mbele za watu, kuna namna wanafanya anaongea mambo yanayomshusha Yeye mwenyewe.

Sidhani kuna BAYA litampata.

Aongeze umakini tu.

Ila ni kiongozi mkubwa sana, sababu anawapenda watu wa ardhi anayoiongoza sio anapenda uongozi.

Ingekuwa anapenda uongozi tungeona vile anatoka Uenezi kwenda RC akififia.

Anapenda kutatua matatizo na ni nadra sana jamii kuwa na watu wa namna hii.

Alishughulikie Hilo kuthibiti kuchezewa kauli anapokuwa mbele za watu na kuongozwa akili nje ya mapenzi yake.

Jamii ilipaswa kumlinda Paul Makonda na si vinginevyo, hivyo ndivyo nionavyo Mimi.
 
Huu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
'Official statement' hiyo hapo #66
1. Makonda kaenda kufanya checkup South Africa.

2. Jana amepiga simu kuulizia watu wanasemaje, pia ameagiza mipango ianze kumtengenezea njia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana Mwanza.
Au unataka zaidi ya hiyo?
 
Back
Top Bottom