Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Ameua watu wengi na wengine amewaacha na ulemavu, hao aliowaua na kuwaacha na ulemavu laiti kama wangekua mama zetu, baba zetu, kaka zetu na dada zetu sijui hii kauli "I WISH HIM SMOOTHLY RECOVERY " ingeendelea kuwepo au mtazamo ungebadilika!!!!

Najaribu tu kuwaza ila sio kwa ubaya.
Yuko likizo dubenga 😄

Ova
 
Mimi ile ndoto ilikua dhahiri kama maono kabisa
Yaani nimeona hii post nikakumbuka
Pia ilionekana kazidiwa sanaaa
Yaani labda isiwe ni yeye lakini hata kama sio yeye
Yabid awe makini mnoo
Mi naotaga mtu flani may be kaumia
Na kweli kesho anaumia na hii ipo kwetu hata mama ana maono sana
kama ndivyo inavyokuwaga kwako yakupasa ukiota uingie kwenye maombi ya kubatilisha hicho ulichoota ili kisitokee una uwezo wa kufanya hivyo usipofanya hivyo madhara yanatokea najua wewe ni mkristo unaiamini Damu ya Yesu yawez kubadili mauti kuwa uzima hicho ni kipawa hujapewa na Mungu kwa bahati mbaya ni kwa sababu maalum
 
kama ndivyo inavyokuwaga kwako yakupasa ukiota uingie kwenye maombi ya kubatilisha hicho ulichoota ili kisitokee una uwezo wa kufanya hivyo usipofanya hivyo madhara yanatokea najua wewe ni mkristo unaiamini Damu ya Yesu yawez kubadili mauti kuwa uzima hicho ni kipawa hujapewa na Mungu kwa bahati mbaya ni kwa sababu maalum
Hata Mimi nilipata Njozi asubuhi moja week iliyop[ita baada ya siku moja habari zikaanza kusambaa! Kusema kweli nilipinga sana kwa Damu ya Yesu!
Ila naamini kabisa Bwna Yesu atamulinda na kumuponya na madhira ya maadui zake!
 
Kwa ufahamu wako akitokea mtu akakwambia Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa atatenguliwa na mtu fulani atateuliwa kushika nafasi hiyo na baada ya siku mbili ikawa hivyo,Je mtu huyo kabahatisha?.

Je unadhani mtu aliyeweza kupata taarifa nyeti kiasi hicho, ( Kumbuka tunazungumzia nafasi ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa,nafasi ambayo mtu akiteuliwa huapishwa siku hiyo hiyo) anaweza kushindwa kupata habari kama hii aliyoleta ya RC kuumwa?.
Inawezekana pia akawa ameandaliwa kulishwa hizo taarifa kimkakati ili muweze kumuamini, halafu baadaye alete taarifa kama hii halafu wote mjae mazima halafu mtu yule (Bashite) aibuliwe kivingine na kishujaa ili kuzifanya akili zenu zianze kumuona mtu huyo aliyevumishiwa kulishwa sumu kama mungu mdogo na shujaa na kwa akili za watanzania huo ndiyo mchezo ninauona mnachezewa hapa. Itunze hii post yangu
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Dogo tatizo lilianzia pale alipokosea fomula ya kwamba thithiemu hawachiani mazi mezani, sasa dogo kaweka mazi mezani kaenda kwa toilet huku nyuma wazee wakambi kafanya yao kumbuka ziara ya mwenezi na katibu kubwa kanda ya nord
 
Mahututi hiyo vipi? Maana wiki sasa Mahututi!
Tulia usijipe usemaji wa serkali na Familia!
Hakuna kitu, mleta mada mwenyewe member wa committee of syndicate na ndiye amepewa jukumu ku create hizi scenarios. Huyo Bashite wao wamemtunza sehemu wanataka wamuibue kama shujaa.
britanicca najua hili unalijua vyema kuwa upo hapo kuzichezea akili za hawa netizens.
 
Hakuna kiti, mleta mada mwenyewe member wa committee of syndicate na ndiye amepewa jukumu ku create hizi scenarios. Huyo Bashite wao wamemtunza sehemu wanataka wamuibue kama shujaa.
britanicca najua hili unalijua vyema kuwa upo hapo kuzichezea akili za hawa netizens.
Hivi sumu ikupige siku zaidi ya kumi sasa! Pia kama sumu alipewa na yule Baba Mtumishi mbona kesho baada ya siku mbili ndo alikabidhi zawadi ya pikipiki ya dereva alopata ajali!
Mahesabu yanagoma how comes upewe sumu siku ile halafu uje uugue siku tatu baadae!
Upelekwe South Africa kutokea Arusha kwenda KIA hakuna taarifa hata za ushahidi kiasi maana Mkuu wa Mkoa hana ulinzi kama wa Rais au Waziri Mkuu!
Jamaa yuko sehemu na kaona watu wameongelewa kupewa sumu naye anatumia nafasi hiyo kuwafanya maadui zake kuona kuwa jamaa Mwamba licha ya Sumu lakini hawajamuweza!
 
Back
Top Bottom