Jamiix
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 940
- 666
Read btn the lines, "OPORATION".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Read btn the lines, "OPORATION".
Majibu yapo kwa your creator. And in His word he said he will restore such things in the last days. It is up to you to surrender that gift to Him for his use for his glory to save many. Read hereNajiuliza maswali mengi sana na wala sina majibu
Mambo ni mengi Mdogomdogo tutafika tu Sabato tupumzikeIkawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
Hata ingekuwa imeandikwa operation lakini haibadili matokeo.Read btn the lines, "OPORATION".
👊The fact makonda anaweza kuwa moja ya watu wanaotegemewa kisiasa ni kielelezo tosha kwa nini sisi ni taifa maskini.
Hata kama hajasepa bado ila hatokuwa yule na makidai yake. Lazima viungo vitakuwa vimetafunwa sana ndani kwa ndani.Kwa jinsi zero brain anavyopenda sifa kama angekuwa mzima tungekuwa tumeona post mpya mitandao ya kijamii.
Hata Magufuli walisema nu mzima akasubiriwa Jumapili iliyofuata hakutokea kanisani hiyo ilitoa picha sio mzima, hawa wawili kwa sifa wanafanana kama ni mzima angekuwa ameshatoka kujionyesha.
Malipo ni hapa hapa dunianiHata kama hajasepa bado ila hatokuwa yule na makidai yake. Lazima viungo vitakuwa vimetafunwa sana ndani kwa ndani.
Muache alipe dhambi zake za watu aliowaua, kuwateka, kuwanyang'anya mali kati ya mwaka 2014- 20.
Kumbukeni alianza kumpiga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza November 2014
View attachment 3058547
Ya Gavana Balali hayo!!!Kuna uwezekano jamaa amechagua marafiki zake vizuri... maana hadi sasa hakuna mwenye taarifa sahihi. Labda yuko New York mapumzikoni.
Sumu sio hatari,wahuni ndio hatari,maaana wakikuamulua huwezi kuikwepaSumu ni hatari sana
Naunga mkono hojaSumu sio hatari,wahuni ndio hatari,maaana wakikuamulua huwezi kuikwepa
Mkuu si wamesema yupo kwa sultan anafaidi keki walionyimwa wadanganyika.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.