Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Najiuliza maswali mengi sana na wala sina majibu
Majibu yapo kwa your creator. And in His word he said he will restore such things in the last days. It is up to you to surrender that gift to Him for his use for his glory to save many. Read here

Joel 2
28 And it shall come to pass afterward, that I will pour out my spirit upon all flesh; and your sons and your daughters shall prophesy, your old men shall dream dreams, your young men shall see visions:
29 And also upon the servants and upon the handmaids in those days will I pour out my spirit.

If you can not find the answer in the creators book any other answer will be false look what he told Jeremiah
Jeremiah 1
5 Before I formed thee in the belly I knew thee; and before thou camest forth out of the womb I sanctified thee, and I ordained thee a prophet unto the nations.
He knows you even before he formed you and has a purpose behind that Gift. If you contact him he will reveal to you that purpose and when you save that purpose al other things will be a blessing in your life.
 
kama mnakumbuka katika ile clip iliyovuja kipindi kile ya bwana millet, dulla makabila ya kisomali na Arusha na otatenaneee kuna kipande Dulla anasema" huyu jamaa naona ile "kitu" imeanza kumla mpaka kwenye ubongo .

Mnajua ilikua kitu gani? Ila Dullah mwisho wake utakua aibu kuu
 
Read btn the lines, "OPORATION".
Hata ingekuwa imeandikwa operation lakini haibadili matokeo.

Peter Msechu anapigajaramba
IMG-20240725-WA0095.jpg
 
Kwa jinsi zero brain anavyopenda sifa kama angekuwa mzima tungekuwa tumeona post mpya mitandao ya kijamii.

Hata Magufuli walisema ni mzima akasubiriwa Jumapili iliyofuata hakutokea kanisani hiyo ilitoa picha sio mzima na kweli alikuwa mahututi Nairobi, hawa wawili kwa sifa wanafanana kama ni mzima angekuwa ameshatoka kujionyesha.
 
Malaika mlinzi wa geti alimwambua rudi duniani muda wako bado

Ikanchi ina wahuni wengi sana,baba wa watu mkamoa sumu kali kumkomoa tu,alibabuka ngozi yote akamtafuta mwanasheria wake ajaanza kugawa mirathi akijua ndio mwisho wake,kumbe saa yake bado


Ile sumu huwa wanapona wachache sana,sasa nasikia kuna mwongine kapewa the same poison,dua zenu
 
Kwa jinsi zero brain anavyopenda sifa kama angekuwa mzima tungekuwa tumeona post mpya mitandao ya kijamii.

Hata Magufuli walisema nu mzima akasubiriwa Jumapili iliyofuata hakutokea kanisani hiyo ilitoa picha sio mzima, hawa wawili kwa sifa wanafanana kama ni mzima angekuwa ameshatoka kujionyesha.
Hata kama hajasepa bado ila hatokuwa yule na makidai yake. Lazima viungo vitakuwa vimetafunwa sana ndani kwa ndani.

Muache alipe dhambi zake za watu aliowaua, kuwateka, kuwanyang'anya mali kati ya mwaka 2014- 20.

Kumbukeni alianza kumpiga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza November 2014

Screenshot_20240801_135910_Google.jpg
 
Hata kama hajasepa bado ila hatokuwa yule na makidai yake. Lazima viungo vitakuwa vimetafunwa sana ndani kwa ndani.

Muache alipe dhambi zake za watu aliowaua, kuwateka, kuwanyang'anya mali kati ya mwaka 2014- 20.

Kumbukeni alianza kumpiga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza November 2014

View attachment 3058547
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom