Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah malaika wapi bhana...
Yeah. Hii ni zaidi ya cryptography...DAB alifanya makosa sana kumpoteza Watch eight.
Hajui usiku wala mchanaKwani mkùu anaendeleaje?? Na hali aisee mama samia kaenda kumuona?? au jamaa ndio bado yupo bado hoi???
Mwakyembe nywele zilivyomnyonyoka na ngozi ya mwili yake kuathirika unafikiria ni nini. Suala ilikuwa ni timing tu, ukijichanganya tu, watu wanakula kichwa.Kuonekana na mwamposa haimaanishi yeye kuwa mhusika hiyo chain inaweza kuanzia kwa mpishi, mtu aliye waletea chakula mezani, au mtu waliye kaa nae meza moja(hili linawezakana kwa kutengeneza tukio linalo hamisha macho ya walaji na hivyo mtu anaweka chap sumu)
Au kama alitembea na maji yake na akayaacha sehemu mtu wake wa karibu hata dereva anaweza kuhusika
Au wakati ameenda kunawa na ameacha kinywaji chake mezani mtu akiyekusudia kumlisha sumu anatumia mwanya huo huo
Kwahiyo ni ngumu kusema fulani ndie mhusika. Kama kuna cctv wanaweza kuanzia hapo na kama tukio halionekani basi sumu amelishwa siku kabla ya kuonana na mwaposa au saa chache kabla ya kwenda lunch.
Vipi labda kama ni chai ya ofisini?
hata hivyo serikali haijathibitisha kwamba kijana wenu pendwa amelishwa sumu
Ya lini hii ?
JuziYa lini hii ?
Leo mkuu. Tarehe 6 AugustYa lini hii ?
YessssirrYupo anakula bata tu
Oca
Amepost nani? Maana kwenye main page yake ya Instagram post ya mwisho ni July 21, 2024Juzi
Au bata wanamla yeyeYupo anakula bata tu
Oca
Wewe kila kitu unapost mtandaoniAmepost nani? Maana kwenye main page yake ya Instagram post ya mwisho ni July 21, 2024
Jamaa kapanic kuona Makonda anakula bata, anatamani atokee mtu aseme video ya mwaka juzi😄😄Wewe kila kitu unapost mtandaoni
Synergistic effectLabda hiyo sumu iwe imesababisha multiple organ failure tofauti na hapo haiwezi kuwa lethal kihivyo atapona tu. Atahama Nchi huyo ndugu yenu.
Hata ingekuwa na mm ni mwanasiasa au mfanyabiashara biashara mkubwa, nisingetibiwa hospitalini za Tanzania, kwani huko Maafisa kipenyo wengi.Wakiwa huku wanajifanya kusifia hospitali zetu hasa mloganzila ngoja waumwe sasa wanaenda kufia sauzi au india. Mungu anajua kutukomeshea hawa watu!