Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Kuonekana na mwamposa haimaanishi yeye kuwa mhusika hiyo chain inaweza kuanzia kwa mpishi, mtu aliye waletea chakula mezani, au mtu waliye kaa nae meza moja(hili linawezakana kwa kutengeneza tukio linalo hamisha macho ya walaji na hivyo mtu anaweka chap sumu)

Au kama alitembea na maji yake na akayaacha sehemu mtu wake wa karibu hata dereva anaweza kuhusika

Au wakati ameenda kunawa na ameacha kinywaji chake mezani mtu akiyekusudia kumlisha sumu anatumia mwanya huo huo

Kwahiyo ni ngumu kusema fulani ndie mhusika. Kama kuna cctv wanaweza kuanzia hapo na kama tukio halionekani basi sumu amelishwa siku kabla ya kuonana na mwaposa au saa chache kabla ya kwenda lunch.

Vipi labda kama ni chai ya ofisini?

hata hivyo serikali haijathibitisha kwamba kijana wenu pendwa amelishwa sumu
Mwakyembe nywele zilivyomnyonyoka na ngozi ya mwili yake kuathirika unafikiria ni nini. Suala ilikuwa ni timing tu, ukijichanganya tu, watu wanakula kichwa.

Sehemu zipo tu nyingi za timing, siti ya gari, mlango wa gari, harufu ya manukato, nyaraka za kiofisi, washroom, n.k. Kwa hiyo siyo lazima iwe sunu ya kulishwa ama kunyweshwa.
 
Back
Top Bottom