kunguni masta
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 142
- 179
Kwanza asingekosa uzinduzi wa sgr ya mama yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kunguni masta unepiga pigaje hapo?? Umeiweka vizuriKwanza asingekosa uzinduzi wa sgr
Nimeona nifunge mlango watu wasiingie na kutoka!!Mkuu Kunguni masta unepiga pigaje hapo?? Umeiweka vizuri
Weka na aliyoshiriki uzinduzi wa SGR ya maza wake
Weka na Ile aliyekuwepo kwenye uzinduzi wa SGR ya maza wake!
Muda ni wakati au likizo ya mileleMwezi sasa mtoto pendwa haonekani walisema likizo haijesha??
😄Nina imani SISIEMU ni tofauti na serikali ,aliapata ajira SISIEMU akatumikia kwa miezi kati ya minne hadi mitano then akapata ajira serikalini napo ametumikia mpaka sasa miezi miwili hadi mitatu....Hivi likizo unahama nazo ukitoka SISIEMU kwenda Serikalini? Serikalini tangu aanza kazi kwa miezi hiyo michache anaqaulify kupata likizo ya siku 5 tu...Sasa mbona ameenda likizo muda mrefu?
Wachuma janga hula na wa kwao !Waasisi niccm. Ref: yaliyomkuta Kolimba alipoitwa kujieleza kwny cc yao.
Wazungu Wanasemaga Rumours is carried by haters, spread by fools and accepted by idiots !!Uzushi %99
Huyo amejiteka kutafuta kiki tuThread hii ilianzishwa siku 15 zilizopita. Na wakati inaanza jamaa alikuwa na kama wiki haonekani.
Ina maana sasa ni mwezi mzima kiongozi mteule wa Rais hajulikani alipo kwa kipindi cha mwezi mzima na hakuna taarifa zozote official kuwa ana shida gani. Hii ni kama Ben Saanane, jee Makonda naye anaweza kupotea miaka 6 asionekane?
Au ule ukaribu wake na Mchungaji Mwamposa amenyakuliwa kama alivyo nyakuliwa HENOKO na Mungu?
Tuache tabia ya kufichana mambo hasa kwa viongozi? Au katekwa mnaona aibu kusema?
Mkuu Tanzania huijui? Fedha za ma-bwege watanzania hazina kazi. Mimi huyu jamaa inawezekana ameugua ugonjwa wa kawaida tu, tena mdogo na ameenda nje ya nchi kutibiwa na hii ya kupewa sumu ni yeye kapanga ili kupoteza watu maboya. Huyu jamaa kwa michezo ya kuigiza ni mzuri sana na atakaporudi anaandaa mapokezi makubwa na kushangiliwa kusikoisha.Nina imani SISIEMU ni tofauti na serikali ,aliapata ajira SISIEMU akatumikia kwa miezi kati ya minne hadi mitano then akapata ajira serikalini napo ametumikia mpaka sasa miezi miwili hadi mitatu....Hivi likizo unahama nazo ukitoka SISIEMU kwenda Serikalini? Serikalini tangu aanza kazi kwa miezi hiyo michache anaqaulify kupata likizo ya siku 5 tu...Sasa mbona ameenda likizo muda mrefu?
Hadi uwe na D mbili😂😂Hii code ngumu Sana kufungua
Duh!!,Ngoja tusubiri,muda utasemaMkuu Tanzania huijui? Fedha za ma-bwege watanzania hazina kazi. Mimi huyu jamaa inawezekana ameugua ugonjwa wa kawaida tu, tena mdogo na ameenda nje ya nchi kutibiwa na hii ya kupewa sumu ni yeye kapanga ili kupoteza watu maboya. Huyu jamaa kwa michezo ya kuigiza ni mzuri sana na atakaporudi anaandaa mapokezi makubwa na kushangiliwa kusikoisha.
Kwahiyo hajafa kama mlivyozusha?Mkuu Tanzania huijui? Fedha za ma-bwege watanzania hazina kazi. Mimi huyu jamaa inawezekana ameugua ugonjwa wa kawaida tu, tena mdogo na ameenda nje ya nchi kutibiwa na hii ya kupewa sumu ni yeye kapanga ili kupoteza watu maboya. Huyu jamaa kwa michezo ya kuigiza ni mzuri sana na atakaporudi anaandaa mapokezi makubwa na kushangiliwa kusikoisha.
Serikali walitoa tarifa yuko likizo, ni wewe kuamini au kugomaThread hii ilianzishwa siku 15 zilizopita. Na wakati inaanza jamaa alikuwa na kama wiki haonekani.
Ina maana sasa ni mwezi mzima kiongozi mteule wa Rais hajulikani alipo kwa kipindi cha mwezi mzima na hakuna taarifa zozote official kuwa ana shida gani. Hii ni kama Ben Saanane, jee Makonda naye anaweza kupotea miaka 6 asionekane?
Au ule ukaribu wake na Mchungaji Mwamposa amenyakuliwa kama alivyo nyakuliwa HENOKO na Mungu?
Tuache tabia ya kufichana mambo hasa kwa viongozi? Au katekwa mnaona aibu kusema?