Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Nina imani SISIEMU ni tofauti na serikali ,aliapata ajira SISIEMU akatumikia kwa miezi kati ya minne hadi mitano then akapata ajira serikalini napo ametumikia mpaka sasa miezi miwili hadi mitatu....Hivi likizo unahama nazo ukitoka SISIEMU kwenda Serikalini? Serikalini tangu aanza kazi kwa miezi hiyo michache anaqaulify kupata likizo ya siku 5 tu...Sasa mbona ameenda likizo muda mrefu?
 
😄
 
Thread hii ilianzishwa siku 15 zilizopita. Na wakati inaanza jamaa alikuwa na kama wiki haonekani.
Ina maana sasa ni mwezi mzima kiongozi mteule wa Rais hajulikani alipo kwa kipindi cha mwezi mzima na hakuna taarifa zozote official kuwa ana shida gani. Hii ni kama Ben Saanane, jee Makonda naye anaweza kupotea miaka 6 asionekane?
Au ule ukaribu wake na Mchungaji Mwamposa amenyakuliwa kama alivyo nyakuliwa HENOKO na Mungu?
Tuache tabia ya kufichana mambo hasa kwa viongozi? Au katekwa mnaona aibu kusema?
 
Huyo amejiteka kutafuta kiki tu
 
Mkuu Tanzania huijui? Fedha za ma-bwege watanzania hazina kazi. Mimi huyu jamaa inawezekana ameugua ugonjwa wa kawaida tu, tena mdogo na ameenda nje ya nchi kutibiwa na hii ya kupewa sumu ni yeye kapanga ili kupoteza watu maboya. Huyu jamaa kwa michezo ya kuigiza ni mzuri sana na atakaporudi anaandaa mapokezi makubwa na kushangiliwa kusikoisha.
 
Duh!!,Ngoja tusubiri,muda utasema
 
Kwahiyo hajafa kama mlivyozusha?
 
Thread hii ilianzishwa siku 15 zilizopita. Na wakati inaanza jamaa alikuwa na kama wiki haonekani.
Ina maana sasa ni mwezi mzima kiongozi mteule wa Rais hajulikani alipo kwa kipindi cha mwezi mzima na hakuna taarifa zozote official kuwa ana shida gani. Hii ni kama Ben Saanane, jee Makonda naye anaweza kupotea miaka 6 asionekane?
Au ule ukaribu wake na Mchungaji Mwamposa amenyakuliwa kama alivyo nyakuliwa HENOKO na Mungu?
Tuache tabia ya kufichana mambo hasa kwa viongozi? Au katekwa mnaona aibu kusema?
Serikali walitoa tarifa yuko likizo, ni wewe kuamini au kugoma
 
Back
Top Bottom