Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Nasikia tayari bado kutangazwa tu nani alijua tungekuwa na Rais ambaye hakupigiwa kura?
Kwa mkeka wa jana, ulivyogusa nafasi za Mawaziri, Manaibu katibu wakuu, Wakuu wa Taasisi,wakuu wa wilaya,Wakurugenzi na Makatibu tawala lakini UKARUKA NAFASI YA WAKUU WA MIKOA, Basi amini amini nakwambia hali ya Makonda itakuwa imechangia nafasi hizo ziachwe kwanza zisiguswe alafu baada hili ndipo zipanguliwe moja kwa moja. Kama angekuwa likizo kweli kusingekuwa na kipingamizi cha kuzigusa.
 
Nimemuangalia huyo zero brain kwenye hiyo PR ya leo.

Kiufupi nimenotice hayupo sawa ni labda kapata recovery ndio wakamtoa aje apige PR .

Kwani mmesahau Philip Mpango akiwa waziri wa fedha na siku chache nyuma alisema ofisini kwao kuna Covid 19?? ila alivyoletwa kuzungumza mbele ya camera kuonyesha hakuna ugonjwa aliishia kukohoa mwanzo mpaka mwisho.

Mimi bado naona kuna kitu hakikuwa sawa ila kapata ahueni ndio wamemtoa.

Muda utasema tu.
 
Back
Top Bottom