CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Amerudi na ndiye mrithi wa Kinana.Ni kweli Yuko likizo
Kafia huko huko likizoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amerudi na ndiye mrithi wa Kinana.Ni kweli Yuko likizo
Kafia huko huko likizoni.
Ile nafasi ni ya wazee,angalia trend ya umri kuanzia Kinana na watangulizi wakeAmerudi na ndiye mrithi wa Kinana.
Nasikia tayari bado kutangazwa tu nani alijua tungekuwa na Rais ambaye hakupigiwa kura?Ile nafasi ni ya wazee,angalia trend ya umri kuanzia Kinana na watangulizi wake
Ni wanafiki na wajinga wa akili na utuKwahiyo mnataka Kumpangia Majukumu ya Kilazima Mwenyezi Mungu kupitia Wakala wake wa Kifo Israeli au?
Ndo maana akaenda kupikwa na wazee ,,,,watu network zao huko zinasoma kafaIle nafasi ni ya wazee,angalia trend ya umri kuanzia Kinana na watangulizi wake
Watoto wadogo hawa hawajui mambo ya ile kanda ya wababe.....Kwahiyo na Wewe unaamini kama wengi kuwa Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha hatunae tena hapa duniani?
Kwa mkeka wa jana, ulivyogusa nafasi za Mawaziri, Manaibu katibu wakuu, Wakuu wa Taasisi,wakuu wa wilaya,Wakurugenzi na Makatibu tawala lakini UKARUKA NAFASI YA WAKUU WA MIKOA, Basi amini amini nakwambia hali ya Makonda itakuwa imechangia nafasi hizo ziachwe kwanza zisiguswe alafu baada hili ndipo zipanguliwe moja kwa moja. Kama angekuwa likizo kweli kusingekuwa na kipingamizi cha kuzigusa.Nasikia tayari bado kutangazwa tu nani alijua tungekuwa na Rais ambaye hakupigiwa kura?
Usikate tamaa,Hata akienda kaenda kishujaa Aluta continua wengine wapo......moto ni ule ule
Pumba hizi peleka ziziniAkitoka mkutanoni tu, atachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti bara na kaburi litabaki wazi kama mwana wa Daudi hivyo walinzi wakaburi watabaki wanaimba hosana hosana mwana wa Daudi
SantosNani?
Kaibukia kisongo 😄Eenhhee, tuendelee tulipoishia...
Sasa ikaweje baada ya sumu?