Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Pole sana kwahiyo hayo ndio kuwa na bima ya Jubilee maendeleo kwako eeh ? Binafsi mimi nilishapita hizo level.

Yes ni zero brain hujui alipata sufuri kidato cha nne ila kwakuwa meritocracy sio issue Tanzania mtu kama huyo anaweza kumuongoza hata Professor Janabi!

Mimi ninayo life insurance kabisa kutoka Penn Mutual

Oh pole ! Sana ndio CCM imewadanganya hivyo ?

Sio ajabu mmeshindwa kuendana na kasi ya Aga Khan.

Sihitaji kumzidi Makonda zero brain mimi nashindana na mtu ambaye nikijiangalia kwenye kioo namuona, huyu ndio nataka niwe bora kuliko yeye kila iitwapo leo.

Huyo Makonda amekuwa mtumishi wa umma ila kilipofika kipengele cha kufanyiwa lifestyle audit[ ambayo ni kisheria ipo kwa mtumishi wa umma] ndio walipochora mstari , kazi kwako nadhani utakuwa zero brain mwenzie.View attachment 3071809
Kama mtu ana kidato cha nne na anakuongoza hapo zero brain hasa ni wewe, maana gari bovu huvutwa na zima
 
Kama mtu ana kidato cha nne na anakuongoza hapo zero brain hasa ni wewe, maana garo bovu huvutwa na zima
Huyo Matrix ni kujikakamua tu! Kwanza account yake fake kwa maana haijulikani!
Kama amevuka hizo level kwa nini asitumie jina lake halisi!
Big Brain Bongo hii wachache sana anamaanisha big Brain za akina Lisu na Lema?
Kuna watu wapuuzi sana wanadhani Big Brain ni kukariri haya makaratasi ya elimu ya kibongo!
Na kuna kundi kubwa la watu walosoma Sheria nao wanajiita Big Brain ila ukimuuliza naomba orodha ya watu katika jamii yako wenye changamoto mbalimbali ushawahi kuwasimamia matatizo yao ya kisheria na kufanikiwa kupata wanachostahili anabakiza maneno mengi na upuuzi!
 
Big brain na mtu mwenye pesa anahifadhi kipande cha gazeti ile aje kutumia kama ushahidi kwenye comments za jf. Haiwezi ikawa kweli
Kuandika tu ile comment vile tayari anaangukia kwenye group la walalahoi
 
Kwahiyo nikitumia jina langu halisi ndio nitakuwa sijikakamui?

Mimi nimefanya counter argument ya ulichosema wewe umehama unataka ujue identity yangu halisi ni ipi?

Sijaona faida ya kuingia na identity yangu halisi na hilo lisikuumize kichwa ndio maana humu policy zimeruhusu anonymity , forum za field yangu zinataka niingie kwa identity yangu halisi na ndio ninachokifanya maana huko ni part ya majukumu yangu ya kila siku ila sio humu JF
Big Brain Bongo hii wachache sana anamaanisha big Brain za akina Lisu na Lema?
Nimemtaja Lissu hapo au Lema ?

Wewe unaota au unajibu vitu ambavyo sijaandika??
Kuna watu wapuuzi sana wanadhani Big Brain ni kukariri haya makaratasi ya elimu ya kibongo!
Wapi nimesema big brains ni wale waliokariri makaratasi, iweje mtu apate sifuri iwe justification ya kusema hata mtu ukifeli utakuwa boss unafikiri hiyo inapply kote ?

Tembea ujionee.
Na kuna kundi kubwa la watu walosoma Sheria nao wanajiita Big Brain ila ukimuuliza naomba orodha ya watu katika jamii yako
Hiyo kazi ya kutatua changamoto inatakiwa kufanywa na nani?

Ni ajabu chama kilichoongoza nchi tangu uhuru hadi leo wakijenga lami au kupeleka maji wanamshukuru rais na mapicha na msafara juu kumbe sio jambo la kushuruku ni matumizi ya kodi.

Chama kina miaka mingi na nchi ina miaka 60+ tangu uhuru ila wananunua gari kwa milioni 600 huku watoto wanakaa chini , hata siku CHADEMA wakiingia madarakani wakavurunda mimi nitawasema kwakuwa watakuwa wanashindwa kujua vipaumbele.

Wewe unafikiri mtoto wa Mwigulu anasoma shule isiyo na madawati na anakaa chini?
wenye changamoto mbalimbali ushawahi kuwasimamia matatizo yao ya kisheria
Hapa unamzungumzia nani maana hueleweki.
na kufanikiwa kupata wanachostahili anabakiza maneno mengi na upuuzi!
Kama yapi?

Ndio wale maprofesa walioenda ICSID na kushindwa kujibu hoja hadi nchi ikatakiwa kulipwa mamilioni ya dola kwa kuvunja mikataba bila taratibu?

Solicitor general yupo , attorney general yupo na bado wanashindwa kumshauri rais hapo utamlaumu Lissu?
 
Ndio prove huo ukweli unaousema.

Maana nimesema mimi huyo sio kiongozi wangu wewe umesema ni kiongozi wangu ndio maana nimeuliza wewe una ushahidi gani mimi huyo ni kiongozi wangu?
Kuna kitu kinaitwa kujizima data, unaelewa ni nn?
 
Back
Top Bottom