Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu ana kidato cha nne na anakuongoza hapo zero brain hasa ni wewe, maana gari bovu huvutwa na zimaPole sana kwahiyo hayo ndio kuwa na bima ya Jubilee maendeleo kwako eeh ? Binafsi mimi nilishapita hizo level.
Yes ni zero brain hujui alipata sufuri kidato cha nne ila kwakuwa meritocracy sio issue Tanzania mtu kama huyo anaweza kumuongoza hata Professor Janabi!
Mimi ninayo life insurance kabisa kutoka Penn Mutual
Oh pole ! Sana ndio CCM imewadanganya hivyo ?
Sio ajabu mmeshindwa kuendana na kasi ya Aga Khan.
Sihitaji kumzidi Makonda zero brain mimi nashindana na mtu ambaye nikijiangalia kwenye kioo namuona, huyu ndio nataka niwe bora kuliko yeye kila iitwapo leo.
Huyo Makonda amekuwa mtumishi wa umma ila kilipofika kipengele cha kufanyiwa lifestyle audit[ ambayo ni kisheria ipo kwa mtumishi wa umma] ndio walipochora mstari , kazi kwako nadhani utakuwa zero brain mwenzie.View attachment 3071809
Huyo Matrix ni kujikakamua tu! Kwanza account yake fake kwa maana haijulikani!Kama mtu ana kidato cha nne na anakuongoza hapo zero brain hasa ni wewe, maana garo bovu huvutwa na zima
[emoji1787][emoji1787]Maana ataanza kusema nishindane na mtu mwenye gluteus maximus kubwa za kufanania BBL.
Big brain na mtu mwenye pesa anahifadhi kipande cha gazeti ile aje kutumia kama ushahidi kwenye comments za jf. Haiwezi ikawa kweliHuyo Matrix ni kujikakamua tu! Kwanza account yake fake kwa maana haijulikani!
Kama amevuka hizo level kwa nini asitumie jina lake halisi!
Big Brain Bongo hii wachache sana anamaanisha big Brain za akina Lisu na Lema?
Kuna watu wapuuzi sana wanadhani Big Brain ni kukariri haya makaratasi ya elimu ya kibongo!
Na kuna kundi kubwa la watu walosoma Sheria nao wanajiita Big Brain ila ukimuuliza naomba orodha ya watu katika jamii yako wenye changamoto mbalimbali ushawahi kuwasimamia matatizo yao ya kisheria na kufanikiwa kupata wanachostahili anabakiza maneno mengi na upuuzi!
Big brain na mtu mwenye pesa anahifadhi kipande cha gazeti ile aje kutumia kama ushahidi kwenye comments za jf. Haiwezi ikawa kweli
Kuandika tu ile comment vile tayari anaangukia kwenye group la walalahoi
Frankly, my dear, I don't give a damnKama mtu ana kidato cha nne na anakuongoza hapo zero brain hasa ni wewe, maana gari bovu huvutwa na zima
Ananiongoza mimi kutokea wapi?Kama mtu ana kidato cha nne na anakuongoza hapo zero brain hasa ni wewe, maana gari bovu huvutwa na zima
Labda Kama humtambui kama kiongoziAnaniongoza mimi kutokea wapi?
Are you insane?
Kwahiyo nikitumia jina langu halisi ndio nitakuwa sijikakamui?Huyo Matrix ni kujikakamua tu! Kwanza account yake fake kwa maana haijulikani!
Kama amevuka hizo level kwa nini asitumie jina lake halisi!
Nimemtaja Lissu hapo au Lema ?Big Brain Bongo hii wachache sana anamaanisha big Brain za akina Lisu na Lema?
Wapi nimesema big brains ni wale waliokariri makaratasi, iweje mtu apate sifuri iwe justification ya kusema hata mtu ukifeli utakuwa boss unafikiri hiyo inapply kote ?Kuna watu wapuuzi sana wanadhani Big Brain ni kukariri haya makaratasi ya elimu ya kibongo!
Hiyo kazi ya kutatua changamoto inatakiwa kufanywa na nani?Na kuna kundi kubwa la watu walosoma Sheria nao wanajiita Big Brain ila ukimuuliza naomba orodha ya watu katika jamii yako
Hapa unamzungumzia nani maana hueleweki.wenye changamoto mbalimbali ushawahi kuwasimamia matatizo yao ya kisheria
Kama yapi?na kufanikiwa kupata wanachostahili anabakiza maneno mengi na upuuzi!
Sio kiongozi wangu huyo ..Labda Kama humtambui kama kiongozi
Ni ujeuri tu lakini ukweli unaujuaSio kiongozi wangu huyo ..
Ukweli ni upi??Ni ujeuri tu lakini ukweli unaujua
Hili linahitaji kweli mjadala?Ukweli ni upi??
Ndio prove huo ukweli unaousema.Hili linahitaji kweli mjadala?
Kuna kitu kinaitwa kujizima data, unaelewa ni nn?Ndio prove huo ukweli unaousema.
Maana nimesema mimi huyo sio kiongozi wangu wewe umesema ni kiongozi wangu ndio maana nimeuliza wewe una ushahidi gani mimi huyo ni kiongozi wangu?
Sielewi ni nini.Kuna kitu kinaitwa kujizima data, unaelewa ni nn?
Lugha sanifuSielewi ni nini.
Hiyo ni lugha sanifu au misemo ya mtaani?