Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

Nimestuka sanaaaa mnajua kwanini? Kumbe umri ukienda huwezi kuelewa ila kuna mambo yatakuambia sasa u mzee,
Haka kanazaliwa mimi tayari namalizia malizia uchakaramu leo hii ni mbaba kabisa naacha kula chumvi, naanza mazoezi na muda mwingi wa kupumzika inatosha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…