Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Vizuri sana
Hata Bashungwa alikua Mtendaji Kata ya Manzese
Neema Lugangira naye alikua Mtendaji Kata
Kuna watu wanadhani watoto wa vigogo hawawezi kuwa kwenye nafasi za chini za uongozi.
Hii ni kwa sababu ya mifumo ya kiuongozi hasa barani Afrika ambapo wazazi huwaandaalia watoto wao mazingira mazuri ya kuja kuwa viongozi kama wao.
 
Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Wilaya ya Korogwe kata ya Mswaha, kwishney.

Hawa watoto wa Mpakanjia hawana akili, yule Business partner wa Baba yao aliwapangia nyumba mikocheni na kila mwezi walikuwa wanalipwa posho, lakini ujuwaji mwingi mshkaji ameona isiwe tabu amewapa chao wanachostahili yeye amefunguwa kiwanda cha cable za Umeme alizinduwa mama Samia.

Kutoka business oriented kama Baba yao kwenda kwenye ajira za kujikomba kwa watu ni upuuzi mtupu.
 
Ongera kwa hii kazi ya WEO? Unajuwa Meddy Mpakanjia alishawaachia maisha hawa yeye na kaka yake?
Najua dogo sio kinyonge yule baba yao mlezi kawalea vizuri, ila mzee baba sisi Wakina maporini 😂tupo hapa tunavyeti kama 10 ndani Ata ubalozi wa nyumba kumi hatuna
 
Utajiri gani waliacha zaidi ya ile nyumba pale kijitonyama,magari yalishaoza
Network ni kweli ipo
Kwa umri wake hiyo kazi si haba,atafika mbali
Unaposema magari yalishaoza una maana gani,
 
Back
Top Bottom