njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Mbona maelezo yangu yanajitosheleza hapo mzee kama mwaka huo ndo naacha uchakaram utaona ni miaka mingap kisha jumlisha mpaka miaka hiiKazaliwa 2001 ulikuwa na umri gani? Chief
Mbona maelezo yangu yanajitosheleza hapo mzee kama mwaka huo ndo naacha uchakaram utaona ni miaka mingap kisha jumlisha mpaka miaka hiiKazaliwa 2001 ulikuwa na umri gani? Chief
Mimi nilikua na miaka 12 Sijaanza Ata darasa la kwanza17 years wakati huo mm😁
Baada ya hapo atateuliwa kuwa "DC"Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Hapo km sio DC basi anakua DEDBaada ya hapo atateuliwa kuwa "DC"
Hiyo nafasi ya DED sio matarcall mkuuHapo km sio DC basi anakua DED
Hahahahaha,basi afisa tarafa,ila hao wanapeanaga tu ,muhimu uwe mwenzaoHiyo nafasi ya DED sio matarcall mkuu
Tangu amina afariki ni miaka 20.gari gani ya kudumu miaka 20Unaposema magari yalishaoza una maana gani,
Suzuki, rav 4,vits,nisan patrol, pajero, carina hizo zote zinaweza kudumu miaka 20+Tangu amina afariki ni miaka 20.gari gani ya kudumu miaka 20
Nafikiri pía kulikuwa na mgogoro, madogo wakilalamika jamaa anawadhulumuWilaya ya Korogwe kata ya Mswaha, kwishney.
Hawa watoto wa Mpakanjia hawana akili, yule Business partner wa Baba yao aliwapangia nyumba mikocheni na kila mwezi walikuwa wanalipwa posho, lakini ujuwaji mwingi mshkaji ameona isiwe tabu amewapa chao wanachostahili yeye amefunguwa kiwanda cha cable za Umeme alizinduwa mama Samia.
Kutoka business oriented kama Baba yao kwenda kwenye ajira za kujikomba kwa watu ni upuuzi mtupu.
Ukweli haupo hivyo, jamaa smart sana, sasa hivi ndio watakuwa wanajuta wakati mshikaji mambo yake yanazidi kunyooka, huyo mtoto hakuwa mtu wa kwenda kufanya hizo kazi za kipuuzi.Nafikiri pía kulikuwa na mgogoro, madogo wakilalamika jamaa anawadhulumu