Yes mkuuUnataka kusema Una miaka 35 ?
Yes mkuuUnataka kusema Una miaka 35 ?
Nina degree ya bizness administrationUlibahatika kuendelea na elimu au uliamua kuanzisha familia?
Mimi nasema.wakulungwa walinena..Nani kasema
Mama yake alifariki 2005?. Yaani ni kama jana tu naukumbuka msiba wa Amina Chifupa.Kazaliwa 2001 ulikuwa na umri gani? Chief
Mama kadanja 2007Mama yake alifariki 2005?. Yaani ni kama jana tu naukumbuka msiba wa Amina Chifupa.
Kalikuwa kadogo kweli wakakaonyesha kwenye TV.
2006Mama yake alifariki 2005?. Yaani ni kama jana tu naukumbuka msiba wa Amina Chifupa.
Kalikuwa kadogo kweli wakakaonyesha kwenye TV.
Mama yake alizaliwa 1981 na akafa 26 june 2007,akiwa na miaka 26 tu. Amekufa mdogo sana AminaMama yake alifariki 2005?. Yaani ni kama jana tu naukumbuka msiba wa Amina Chifupa.
Kalikuwa kadogo kweli wakakaonyesha kwenye TV.
Hapana kabla ya hapo, alifariki kwenye 2005.Mama kadanja 2007
Alizaliwa mwaka 1980 alikufa 2005 akiwa na miaka 25 alikuwa mbunge mwenye umri mdogo mle bungeni.Mama yake alizaliwa 1981 na akafa 26 june 2007,akiwa na miaka 26 tu. Amekufa mdogo sana Amina
Sio kweli wakati kifo chake kinatangazwa kuna tukio nyumbani lilikuwa linafanyika tukapata habari ya kifo ndoo maana sisahau kabisaa tarehe,mwezi hadi mwaka.Alizaliwa mwaka 1980 alikufa 2005 akiwa na miaka 25 alikuwa mbunge mwenye umri mdogo mle bungeni.
Dah ila binadam sie zuri ni lipi Sasa,Hapo yupo ki gheresha tyuuh, ukute ana kazi maalumu hapo katani, akimaliza anarudishwa kazini kwake rasmi, kwa kisingizio cha kuhamishwa au kupandishwa cheo.
Lol
Kina l s a F au sioKwenye kijiwe chetu cha kahawa wanakwambia Mama yake alikua mojawapo wa top wa TISS na ndiye amerecruit watu wengi kuingia kitengo
Mi apo naingia la Saba mkuuAt that age ulikua hujaanza shule?na wakt me kwa umri huo nilikua darasa la tano.
Ndo hapo sasa! Walimwengu hawana jema.Angekuwa teja tungesema, angekuwa ikulu tungesema, kaamua kuwa mtendaji kata pia tunasema.
Shida unapenda sifa, na kila sehemu unatupia hizi picha ili uonewe huruma na wakuu. Kwenye group la watendaji huwa unatupia mipicha kibao.Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636