mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 783
- 835
Bora umeona mkuuKama hataki makuu umeleta habari zake za nini huku?
Bora umeona mkuuKama hataki makuu umeleta habari zake za nini huku?
AmekuaPamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Huyo ni mwenyewe mfuate DM.Nimempenda bure hivi naweza kuishi bila yeye!??
Umeona eeeh!! Enzi hizo mamake akiwa Clouds fm akijiita Amina wa Mpakanjia, a.k.a mama RahmaninoDuh,huyu mtoto wetu kakuaa hv
Mnajuana kumbe?Shida unapenda sifa, na kila sehemu unatupia hizi picha ili uonewe huruma na wakuu. Kwenye group la watendaji huwa unatupia mipicha kibao.
Kimsingi unahaingaika sana, na kama sifa unazo na unafanyakazi vizuri basi utaonekana tu. Utendaji wenyewe umepewa kwa hisani TU kama hujui ndo maana hukupitia kwenye usaili.
Muda ukifika utatoboa TU ila sio kwa huruma
Jamani huyu si mtoto wa juzi tu hapa ,katika redio Mama yake (RIP) alikuwa akimtaja kama Rahmanino ? Kama ni yeye basi siku zina kimbia zaidi ya makombora ya Iran Kwenda Israel !!Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Siku zinakimbia kama B-2 kwenda na kurudi IraniKama ni yeye basi siku zina kimbia zaidi ya makombora ya Iran Kwenda Israel !!
Wabongo hatuna jema.Angekuwa teja tungesema, angekuwa ikulu tungesema, kaamua kuwa mtendaji kata pia tunasema.
HakunaaDah ila binadam sie zuri ni lipi Sasa,
Hahahahaha,tushazeekaUmeona eeeh!! Enzi hizo mamake akiwa Clouds fm akijiita Amina wa Mpakanjia, a.k.a mama Rahmanino
Utendaji Kata ni kazi ya kawaida. Huyo ni Afisa wa serikali. Afisa wa serikali si cheo cha kawaida Hata!Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Mbona haukui you looking young than ur real ageYes mkuu
Kumbe nimezeeka aiseee 😔Kweli siku hazigandi!
Kukua kwenye kipi mkuu, labda kuna sehemu tulikwazana Ebu niambieMbona haukui you looking young than ur real age