Dah unyama Hongera kwakeAmepata kazi 2024 baada ya kutoka chuo tu
Dah unyama Hongera kwakeAmepata kazi 2024 baada ya kutoka chuo tu
Nissan PatrolTangu amina afariki ni miaka 20.gari gani ya kudumu miaka 20
Hana umaarufu wowote wala utajiri wala network yoyote ile, ni mtanzania wa kawaida anaepambana na maisha kama wenginePamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
Au katibu tawalaHapo km sio DC basi anakua DED
Waja ni Noma sanaWaja hawawezi kukuacha bila neno🤣🤣😁
Nyinyi mliochelewa kuanza shule ndiyo mnaorudisha maendeleo nyumaMimi nilikua na miaka 12 Sijaanza Ata darasa la kwanza
Smart kwenye angle ipi?Dogo ni smart Sana kuna yule kilaza mtoto wa Ruge anagombania matunzo
At that age ulikua hujaanza shule?na wakt me kwa umri huo nilikua darasa la tano.Mimi nilikua na miaka 12 Sijaanza Ata darasa la kwanza
Yes mkuu, nimeanza nia miaka 13,nikiwa nishaota vuziAt that age ulikua hujaanza shule?na wakt me kwa umri huo nilikua darasa la tano.
🤣😄😂😁🤣😄Hiyo pasaka ya mwaka gani anayowatakia wagalatia
So umemaliza la 7 ukiwa na 20?Yes mkuu, nimeanza nia miaka 13,nikiwa nishaota vuzi
19So umemaliza la 7 ukiwa na 20?
Unataka kusema Una miaka 35 ?Alafu ni mtu mzima sana ujue yule Nina mzidi miaka miwili tu, nimezaliwa 1989 yeye kazaliwa 1991
Ulibahatika kuendelea na elimu au uliamua kuanzisha familia?
Eeh humo humoAu katibu tawala
Dona yooote kumbe anamiliki nyumba moja, pumbavuUtajiri gani waliacha zaidi ya ile nyumba pale kijitonyama,magari yalishaoza
Network ni kweli ipo
Kwa umri wake hiyo kazi si haba,atafika mbali