Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni.
Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu.
Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo simsikii kabisa amekutana na kitu gani tena.
Mziki wa bongo fleva ulianza kama mziki wa kurap lkn sasa hivi umechanganyika umekuwa kama kwaya yaani mashairi na kiitikio umekosa ladha kabisa kina M.r bluu sijui wako wapi angeungana na huyu dogo janja wangefanya kitu corabo cha hali ya juu sana kama wenzetu kule maandishi matatu usa.
Mziki wa bongo fleva sasa umekuwa na staili kama ya dance ya twanga pepeta hauna vionjo na vitu vya kucomekea.
Sasa najiuliza ameishia wapi huyu dogo atupeleke ngarenarooo..?