Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kadogo ni zile mbegu za sidikoKatoto kadogo, watakuwa ni wale graduate wasio na ajira. Inauma sana.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hahah nadhani kesho ataenda kuchukuwa akisindikizwa na walevi wa The don clubMsando akisindikizwa na Gigy Money kaingia mitini? mbona simuoni akichukua form?
Ha ha ha mbegu fupiSio kadogo ni zile mbegu za sidiko