Mtoto wa Aunty azua zengwe, hafanani na Moze Iyobo

Na ngoja tutaona tu.Kwani mtoto akikua si atapigwa picha? Yule iyobo ana mtoto aliyezaa na mwengi ni copy ya iyobo wala huulizi.
Labda anasubiri 40 ipite ndio atuoneshe mtoto.

Antie lazima tu atampiga picha amweke mitandaoni kama alipiga ya tumbo sembuse ya mtoto.
 
Kama mbezi itakuwa massana tu, ntaenda kuongea na dokta lema anipe file la aunty aiseeh, maana na umbea huu ata mpaka nimjue baba watoto,maana umbea ndo kaz yangu

na mie nilihisi ni Masana........ Mama Cookie
binamu uliangalia Empire
 
Nitakufa nimekufa kishujaa na mm kwenye sekta ya umbea, nataka niache historia, mbea mzalendo kuwahi kutokea east africa

askari kufia vitani ni ishara ya ushujaa binamu.........
wambea wenzako tunausubiria umbea kutoka kwa mbea mashuhuri East africa
 
Antie lazima tu atampiga picha amweke mitandaoni kama alipiga ya tumbo sembuse ya mtoto.

Umeona eeh? Na tusibiri tu.
Masikini faraja naona uso wake umepoteza nuru kwa stress!
Mimi naombea huyo mtoto awe wa iyobo tu maana kwakweli inauma sana.
 
Na bora tu awe wa Iyobo. Mbuga zetu ni mwingi huyo kwa mademu anajaza mabasi.
Ndo mana mkewe hadi kawa ka mzee kwa mawazo maskini. Uso haung'ai tena.
 
Ni kweli kabisa, ila Faraja naye pamoja na u smart wake kichwani ila pale ali boogie kiukweli.
Mwanaume mwenye michepuko hawezi kuacha hiyo tabia hata apewe nini, tena mtu mwenyewe ndio huyo mwenye safari zisizoisha?
Nasikia kila hotel anayofikia lazima alale na receptionist mwenzangu!
 
Na alibugi step mno kwa huyu jamaa. Maana ni kit..mbi hatari kila sehemu anayofikia ana mwanamke haangalii sura wala nini? Mkewe hadi kawa mzee kabla ya siku zake anatia huruma sana.Unajua na cheo kikubwa ndo kilimuongezea fursa zaidi.
 
Ni kweli! Mimi ndio maana hua nasema hakuna kitu muhimu kwangu kama furaha ya moyo wangu!
Siwezi kua na mwanaume malaya kisa tu ana kitu fulani au vipi, tena bora nisijue ila nikijua imekula kwake.
Raha ya kua na mwanaume uwe na amani bwana, sio kila mwanamke anamtongoza.
Heshima iko wapi hapo?
 
Na ana moyo aisee ningekua mi shatimka fasta. Kutafta a mani ya moyo. Mume kuwa na kitu sio sababu ya kukunyanyasa na wewe kumganda mwishowe ufe na stress.
 
Faraja ana shida gani ya kumganda huyo mwanaume? Labda kama anampenda kiukweli maana wanawake na sisi tuna ujinga fulani wa kupofushwa na mahaba.
Lakini niliwahi kusikia tetesi kua mambo sio mambo hawako pamoja lakini sijafuatilia hilo.
Nasikia mwanaume anahaha kumtuliza Faraja asiombe talaka maana si unajua mzee anataka kutangaza nia? Bila ndoa itakuwaje?
Ataonekana kua hawezi kuongoza maana kama ndoa imemshinda nchi ataiweza?
 
Tatizo ukute Faraja naye anampenda siunajua tena upofu wa wanawake aisee. Ila huyu baba ni ZOA ZOA tu yoyote twende. Utakuta wanatoka pamoja kwenye events ila kwenye zile mambo za ndani kila mtu na business zake.Sasa na kutangaza nia ndo mkewe ka kaa kimya asije haribu.
 
Huo ni upuuzi, mwanaume malaya ni wa kutupa kule tu.Aisee mimi ndio sitaki mchezo kabisaa, huyo Faraja sijui anang'ang'ania nini mwanaume anamtia aibu tu.
 
Faraja anapendwa kuitwa mama mheshimiwa huku anateseka rohoni na kufa na tai shingoni.
 
Back
Top Bottom