Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

afanye mpango wa Bugatti Veyron, 2.7b kidogo atavuta my attention.
 
Unajuwa zamani ilikuwa ukishika lisimu likubwa ulikuwa unaonekana mchovu na wakuja tu.

Je waonaje sasa? Wenye visimu vidogo wanaheshimika tena?

Tafuta manual ya hiyo gari au google ndio utajuwa nini maana ya $ 500, 000/=

Ndio maana nikajisemea kuwa sijui ni ulofa wangu au vipi? Kwa sababu hata hayo masimu yenu ya kisasa yamejaa mikononi utafikiri mmebeba laptop siyazimikii kabisa. Likewise kwenye hii gari, siitamani hata google inielezee kwenye $500k kuna nini. Mtazamo tu naipa no, acha niendelee kukatazama ka-vitz kangu na kujipa moyo.. Still, sim-diss mwana Bakhressa, coz mwisho wa siku ni preference ya mtu ina-matter, si ndio?
 
afanye mpango wa Bugatti Veyron, 2.7b kidogo atavuta my attention.

Wivu tu unakusumbuwa, wewe hata mwenye Verosa anavuta attention yako wacha kujifaraguwa.

Wewe Bugatti ulishawahi kuiona wapi? Au ndio ujanja wa mtandaoni!
 
Mbona baya sana hilo gari? Mie wala sijaona usipesho wake.
 
Wivu tu unakusumbuwa, wewe hata mwenye Verosa anavuta attention yako wacha kujifaraguwa.

Wewe Bugatti ulishawahi kuiona wapi? Au ndio ujanja wa mtandaoni!

Mkali acha kupasuka kichwa na mapimbi..hao ndo wakiona kitu mtandaoni wanajihisi wamekimiliki...watu wanafanya maisha hao wanabaki kuponda
 
mwenye nacho ataongezewa sasa nyie wengine majungu yanawahusu kala ga bao
 
lakini kwa kusema ule ukweli kwa pesa hiyo angeweza kununua gari kali zaidi ya hilo
 
Wenye fedha hawataki kumiliki vitu sare ya jiji!Gari lake utaliona la kawaida sana ila kuna vitu vinalifanya hilo gari kuonekana so special na hata gharama yake kuwa ya juu!Kwa huyu mwenzangu anayezungumzia Bugatti veyro sijui,kwa barabara gani ya Tanzania utatamba nalo hilo gari,?
 
ukiuza hilo unaanzisha yadi kubwaaaa ya magari.
 
Wenye pesa zao utawajua...sijawahi kumuona Bakhresa wala motto wake wakiuza sura sijuhi kwenye blogs sijuhi wapi...wako busy wanasaka mahela....ma agent ndio wanawatangaza humu
 

Hii ni Merc G50 au 500. haiendi kwa hiyo bei. wala haikaribi goggle n u will get theright price ikizidi sana ni usd 100k before tax
 
Hii ni Merc G50 au 500. haiendi kwa hiyo bei. wala haikaribi goggle n u will get theright price ikizidi sana ni usd 100k before tax

Mkuu unajua maana ya custom made ... We usizungumzie Zile zetu za Japan ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…