Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
hahahaha...,cna genye mkuu,nimecheua zuguzi juzi juzi2...,afu mi na madame dukinaa..,dangachee.,ngoja aje akuthibitshie!
Shikidee...
Werawera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha...,cna genye mkuu,nimecheua zuguzi juzi juzi2...,afu mi na madame dukinaa..,dangachee.,ngoja aje akuthibitshie!
Unajuwa zamani ilikuwa ukishika lisimu likubwa ulikuwa unaonekana mchovu na wakuja tu.
Je waonaje sasa? Wenye visimu vidogo wanaheshimika tena?
Tafuta manual ya hiyo gari au google ndio utajuwa nini maana ya $ 500, 000/=
Sasa kama umenimiss si uje kwangu!
Tena wiki hii niko 'mtamu kama kisheti'
utakosa vitamu kwa uzembe wako.
afanye mpango wa Bugatti Veyron, 2.7b kidogo atavuta my attention.
Mama yangu.
Wivu tu unakusumbuwa, wewe hata mwenye Verosa anavuta attention yako wacha kujifaraguwa.
Wewe Bugatti ulishawahi kuiona wapi? Au ndio ujanja wa mtandaoni!
Mama yako kafanyaje tena.
Labda kama una kinu cha dhahabuWeweee, we mwenyewe nadhani unanijua.
Sibabaiki na vidude kama hvo.
Aende zake.
Hata kwetu lipo.
Wenye pesa zao utawajua...sijawahi kumuona Bakhresa wala motto wake wakiuza sura sijuhi kwenye blogs sijuhi wapi...wako busy wanasaka mahela....ma agent ndio wanawatangaza humu[/QUOTE
Kabisaaaaa....uko ryt mkuu
View attachment 115838View attachment 115839View attachment 115840View attachment 115841View attachment 115842View attachment 115843View attachment 115844
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??
Source:BongoClan : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!
Hii ni Merc G50 au 500. haiendi kwa hiyo bei. wala haikaribi goggle n u will get theright price ikizidi sana ni usd 100k before tax