Hilo nilishalifikiria.
Lakini kabla hatujafika huko nikataka kujua kama anajua akaunti zake zote zinavyokwenda na anavyotoa.
Maana kaandika kama jamaa hajatoa.
Ndiyo maana nikauliza, anajuaje kwamba jamaa hajatoa?
Bakhresa kila sikukuu ya Kiislamu watu wanapanga foleni kwake kuchukua hela, hivyo si ajabu ikawa kawafundisha wanawe kutoa zaka.
Watu wengine badala ya kutafuta hela zao hawaishi kukodolea macho hela za wenzao.