Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Hilo nilishalifikiria.

Lakini kabla hatujafika huko nikataka kujua kama anajua akaunti zake zote zinavyokwenda na anavyotoa.

Maana kaandika kama jamaa hajatoa.

Ndiyo maana nikauliza, anajuaje kwamba jamaa hajatoa?

Bakhresa kila sikukuu ya Kiislamu watu wanapanga foleni kwake kuchukua hela, hivyo si ajabu ikawa kawafundisha wanawe kutoa zaka.

Watu wengine badala ya kutafuta hela zao hawaishi kukodolea macho hela za wenzao.

Poa poa
 
Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt kuna bnadam kama yy inapta wik hawajashka ht buku


Dah! Watanzania walivyo wanafiki! Wewe ulipo umesaidia wangapi.
 
Back
Top Bottom