Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Kweli kila mtu na mapenzi yake na uono wake,,,kagari hako hata Mil.20 nisingenunua, labda ingekuwa May Bach, Ferrari Enzo n.k

Hata mie binafsi sijauona huo umilioni mia kadhaa wa hilo gari.hata moyo wangu haushtuki likipita.kitu Maybach au Range rover au Hammer au Limo likipita lazma ugeuke.hili ni la kawaida tu
 
Ndio maana nikajisemea kuwa sijui ni ulofa wangu au vipi? Kwa sababu hata hayo masimu yenu ya kisasa yamejaa mikononi utafikiri mmebeba laptop siyazimikii kabisa. Likewise kwenye hii gari, siitamani hata google inielezee kwenye $500k kuna nini. Mtazamo tu naipa no, acha niendelee kukatazama ka-vitz kangu na kujipa moyo.. Still, sim-diss mwana Bakhressa, coz mwisho wa siku ni preference ya mtu ina-matter, si ndio?

Kipato ndo kinaamua aina ya matumizi
 
Hata mie binafsi sijauona huo umilioni mia kadhaa wa hilo gari.hata moyo wangu haushtuki likipita.kitu Maybach au Range rover au Hammer au Limo likipita lazma ugeuke.hili ni la kawaida tu

800M unaliita la kawaida! U must be joking.Sema tu wewe hujalipenda
 
Hongera ......shida iko barabarani,vibaka watangowa site mirror na maandishi ya gari,bodaboda nao watalikwaruza.TAKE CARE.
 
nimetoka kuliona muda si mrefu maeneo ya kutoka quality centre linaelekea kama quality plaza, nikawa najiuliza nimeshawahi kuliona wapi hili gari kumbe ni JF.
ila ukiliona kwa mbali unalichukulia poa kumbe ni ma usd kadhaa
 
kwani google ndo wanauza hilo gari?acheni ushamba kila kitu google
 
Back
Top Bottom